Picha zangu za kufungia wiki.

Picha zangu za kufungia wiki.

dyn002_original_800_600_pjpeg_2629498_1fe660abecdb690538849a332aa1da99.jpg
 
?kwiwkwi haya bana na bange zangu ila nashukuru mods wamenifungulia kwa msamaha wa raisi Maxence Melo amesema kwasababu Mungu amemponya ajalii wafungwa wote gerezani tuwekwe huru hahahahaahahahah

You'r Welcome.
 
Yaaani acheni tu Mobile users wengine tunapata shida acha tu!
Yaani picha hautuon inaonekana aliyepost akaweka picha kwangu naona plain!!
 
Back
Top Bottom