Picha zangu za kufungia wiki.

Picha zangu za kufungia wiki.

Umeiona jeki ya kisasa ya samsingi ya mtu saudari ? Titi limeinua BMW 318i kudadeki!

funny+wallpapers+of+girls_7.jpg
 
Mkuu saudari hongera kwa kuisindikiza ijumaa na kuikaribisha jmosi kwa style ya picha za kuchekesha.

Nina kicheko cha mbali lakini nimecheka bila kupenda, hongera kwa kuitunza hiyo hazina ya picha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom