Picha za wanaosinzia Bungeni

Nikupateje

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2009
Posts
1,334
Reaction score
990
Wakuu JF,
Nadhani kazi yetu nzuri tusiifanye ikapote na kusahaulika. Ndani ya mwezi mmoja tumeona a kujadili picha zaidi ya tano za bungeni za watu wamelala na zingine zaidi ya nusu ya wabunge wakiwa hawamo.

Nina wazo ambalo sijajua mtalipokeaje.

Ninasema kwamba MODs waanzishe jukwaa rasmi likiwa na jina kama vile MATUKIO BUNGENI ili picha zote za wasinziaji ziwekwe huko. Kuna watu hawakupata lile gazeti la Waziri Wasira akiuchapa usingizi. Sanasana mwenzetu mmoja ameifanya picha ile kama Avatar yake.

Hivyo mtu akijua kuwa akija JF atapa picha zote za wasinziaji, basi hatakuwa na wasiwasi. Kwani mwingine hata thread hataki kuzisoma, anataka ushahidi wa kuona kama ni kweli mheshimiwa mmoja aliuchapa usingizi hadi anafukuza mbu kama alivyosema Mh. Kafulila jana!

Nawasilisha
 
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=34915&amp;stc=1" attachmentid="34915" alt="" id="vbattach_34915" class="previewthumb" /><br />
tuanze na huyu jamaa
<br />
<br />
eeeh...!hyu wa kuanzanae kbs..
 
Jaribu kupitia hii thread
https://www.jamiiforums.com/tanzani...ya-bunge-unasababisha-uzembe-na-usingizi.html
 
jf mtafanya watu waombe muongozo wa kuingia na beseni la maji bungeni
 


:faint:Jamii forums kuna mbambo, maana hii taswira inaeleza mengi zaidi kuliko za waandamizi wake wasinziaji. :faint:
 
Pokeeni za hawa watano,
​






tuendelee...........

​
 

Attachments

  • images.jpg
    11.4 KB · Views: 114
  • wasira.jpg
    13.1 KB · Views: 104
  • komba.jpg
    14.4 KB · Views: 100
  • Mrema-chapa-Usingizi-3-(2).jpg
    12.5 KB · Views: 100
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…