picha za sherehe za mapinduzi harali ya zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

picha za sherehe za mapinduzi harali ya zanzibar

Discussion in 'Jamii Photos' started by figganigga, Jan 13, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa jukwaani wakati ukipigwa wimbo maalum wa Taifa wa Zanzibar.
  [​IMG]
  Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua gwaride maalum wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa,
  [​IMG]
  Kutoka (kulia) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri, Mama Asha Bilal,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, wakisimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar.
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  <TBODY>[TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri, Mama Zakhia Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda[/TD]
  [/TR]
  </TBODY>[/TABLE]

  [​IMG]
  Baadhi ya waendesha Pikipiki wanawake wakpita mbele ya Jukwaa Kuu.
  [​IMG]
  Vijana wakipita kwa maandamano na mabango mbele ya Jukwaa Kuu.
  [​IMG]
  Vijana wakipita kwa maandamano na mabango mbele ya Jukwaa Kuu.
  [​IMG]
  Kikosi cha Polisi wa kike wakipita mbele ya Jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa mgeni rasmi.
  [​IMG]
  Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya Jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa mgeni rasmi.
  [​IMG]
  Kikosi cha kutuliza ghasia FFU, kikipita mbele ya Jukwaa Kuu kwa mwendo wa haraka na kutoa heshima kwa Mgeni rasmi.
  [​IMG]
  Kikosi cha Wanajeshi waenda kwa miguu, kikipita mbele ya Jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa mgeni wa rasmi.
  [​IMG]
  Baadhi ya wananchi waliohudhuria sherehe hizo.mia

   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  mapinduzi halali ndio yakoje na mapinduzi batili yakoje? Angalizo mtu asiqoute hii habari yote jamani please
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  hamad kawekwa katikati ya ma 1st ladies? inamaanisha nini? ndoa?
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Pigia mstari na pete keshavalishwa
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwa picha....Oooh...Ni nzuri sana!:A S embarassed::A S embarassed:
   
 6. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ukiangalia tu wanafiki, wasiojua kwa nini wako hapo pamoja na wasio na mapenzi mema unawajua bila hata kuuliza.
  Mungu wabariki watz, matatizo yamewaelemea!
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hahahah duuu watu mnamacho kweli kwa hiyo woote hao ni wake za wakubwa!
   
Loading...