Jamaa anavuta ganja hospitali bila tabu kabisa
Soma pia Rapa wa Marekani, Offset apigwa risasi Florida
Mimi nimeona ni Winston Sm!Mimi nimemuona anavuta Embassy tu hapo sijaona Ganja wala nini au Embassy nayo siku hizi ni Ganja?
Wewe kweli umeona una macho makali sana umetumia nini ku-zoom?Mimi nimeona ni Winston Sm!
Mi sijaona maajabu hapo😅
Kabisa hamna shida hapoMi sijaona maajabu hapo😅
Haimuumizi mtu🤷🏽♀️
Bora huyo wiz khalifa alichana ile paper ya mwisho ya bible akavutia dawa baada ya arosto kubana akiwa kwenye show nchi fulani middle east
Hapo anajiona mwamba siyoJamaa anavuta ganja hospitali bila tabu kabisa
Soma pia Rapa wa Marekani, Offset apigwa risasi Florida