Picha za ngono tcu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za ngono tcu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by GHANI, Jul 19, 2012.

 1. G

  GHANI JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wakati nikitaka kuchunguza kama tcu wameshatoa selection kwenye tovuti yao nimekutana na picha na video za ngono, je ni kweli tcu hawana security ya kuweza kudhibiti website yao au ni uzembe wa serikali.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  sasa na hili alaumiwe Rais?
   
 3. G

  GHANI JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mbona una fikra fupi kama vichaa wa milembe, sijamlaume rais bali nimelaumu serikali yake acha uvivu wa kufikiri au gamba nini wewe?
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  mbona ni advantage? hapa ingebidi serikali ipongezwe
   
 5. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Si haki kumlaumu huyo Kikwete kwa ishu ya kipumbavu hiyo.
   
 6. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Bado haibadilishi mantiki yako.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Huu msemo ndio unakamilika! "Samaki moja akioza wote wameoza"
   
 8. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  hivi kumbe TCU ni ya Jakaya na wenzake enhh
   
 9. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kaaazi kwelikweli mwanzo ilikua hacked leo ngono, TUTAFIKA KWELI??
   
 10. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Looks huna ustaarabu. Lugha ya shetani ya nini na mwenzako ameuliza gently! you are missing something, what ? God knows!!
   
 11. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kuongoza watu ni lawama tu. kuna siku rais atalaumiwa kwa nini anaachia watu wanakula kuku na wali majumbani mwao wakati wengine wanakula ugali na maharage. Usiombe kuwa kiongozi, ukitii kila lawama utakufa kabla ya wakati wako.
   
 12. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  mpaka mtu akishikwa ugoni mtamlaumu rais....
   
 13. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280

  The buck stops with the person who appoints the leaders of these institutions!! He appoints mediocre people who also recruit mediocre assistants and hence the mediocre performance!!
   
 14. F

  FreedomTZ JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 1,088
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nimefungua website ya tcu mbona sijaona picha za ngono?
   
 15. p

  panadol JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huo ni upuuzi unaofanywa na vijana wa chadema kila kukicha kumuhusisha raisi na mambo ya hajabu hajabu siku hizi heshima hamna enzi za mwalimu watu wapuuzi kama hawa walikuwa wanafanywa kitu mbaya ambayo hawezi adisia kwa watu wengine!
   
 16. P

  Price Hope Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Problem is with TCRA, a government agency, so mkuu wa kaya hawezi kukwepa lawama!!!!!!!!!!!
   
 17. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mtoa mada anauhakika??
   
 18. G

  GHANI JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  sure 100%,fungua hata saivi kwenye website yao kuna links kibao za videos na picha za ngono, nawashauri wafanye marekebisho mara moja.
   
 19. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
   
 20. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ,,,tcu.go.tz!! mbona hamna mkuu!!!
   
Loading...