Mkuu, siyo picha zangu hizo. Hii ilikuwa wakati Mwigulu Nchemba ameenda kwa Wamasaai na kujifanya yeye si Serikali ila ni CCM. Wamasaai wakaona poa tu, wakazikusanya kadi zao na kuja kumlundikia Mwigulu
chadema hakuna mambo kama haya lakini watu kwa mapenzi yao wanamiminika kwa wingi.
Maana yake CCM watu ukusanyika kwa sababu ya WALI & MAHARAGE + KANGA, VITENGE, KOFIA & FULANA lakini kwa CHADEMA hukusanyika pasipo kuwepo na vitu hivyo bali ni mapenzi yao juu ya chama hiki(CDM).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.