Picha za Lissu, Nassari na Heche, Arumeru Mashariki

Picha za Lissu, Nassari na Heche, Arumeru Mashariki

hiyo nyomi iko wapi hapo?
mbona kawaida? hao watu wameenda kusikiliza au kushangaa helicopter? nakumbuka 2005 mbowe alizuzuka na umati wa helicopter akaangukia pua

Tofautisha 2005 na 2015! na ndio maana maccm yanajinyeanyea kuboresha daftari la wapiga kura kwa kuhofia kichapo! wananchi wanawatamani sana kwa sasa waishikishe adabu mizigo!
 
Chadema tutawatimua mafisaji na ccm kwujumla 2015 ili tz ibaki safi kwa watanzania
 
Chadema tutawatimua mafisadi na ccm kwaujumla 2015 ili tz ibaki safi kwa watanzania
 
attachment.php
 
Mkuu nasikia msando alberto kazomewa leonimeweka hiyo thread fasta wakaifuta tujulishe kama unajuwa zaidi juu ya hii kitu

ni kweli , lissu aliambiwa aondoke naye ! Sijui aende naye wapi ?
 
yaani hawa jamaa ndio

maana nchi iko hoi kwa madeni kila wanapo kutana wao ni kula tu.
 
Back
Top Bottom