Picha za Lissu, Nassari na Heche, Arumeru Mashariki

Picha za Lissu, Nassari na Heche, Arumeru Mashariki

moja ya mikutano iliyofanyika kwenye operedheni m4c pamoja daima ni uliofanyika kwenye kijiji cha olkung'wado kata ya ngarenanyuki - arumeru mashariki leo.
Wameunguruma kamanda lissu, nassari na heche. Kadi zaidi ya 400 za ccm zimerudishwa kwa hamasa. Ona picha

hapo chadema ndo nawapendea.... Wanaelimisha watz
 
ukiwa cdm unakuwa na amani sana.kule ccm mara uitwe mzigo,mara buku 7,mara Sammy Cool,yani unakosa raha
 
Watu hao wote jamani... Magamba wakiona cjui wanapata picha gani
 
attachment.php


attachment.php


attachment.php
 
Teh teh teh!!
mtaweweseka sana awamu hii!
naona kila ukiona post za makamanda unapumlia kinyeo!!
umetumia kipimo gani ukatoka na majibu haya? ushaambiwa kuwa hapo ni kijijini lakn nyomi lake halipimiki!

mkuu kuna sababu gani ya kutukana? sina Uhuru wa kutoa maoni?
 
Wamasaai na ndugu zao huwa wanaondoka kwa makundi haswa....

522080_510251082372224_138549568_n.jpg
86092e999fL.jpg
 
Watu walikuwa nyomi mbaya...... ccm inatia huruma kwakweli

hiyo nyomi iko wapi hapo?
mbona kawaida? hao watu wameenda kusikiliza au kushangaa helicopter? nakumbuka 2005 mbowe alizuzuka na umati wa helicopter akaangukia pua
 
Moja ya mikutano iliyofanyika kwenye operesheni M4C pamoja daima ni uliofanyika kwenye kijiji cha olkung'wado kata ya ngarenanyuki - Arumeru mashariki leo.
wameunguruma Kamanda Lissu, Nassari na heche. Kadi zaidi ya 400 za ccm zimerudishwa kwa hamasa. Ona picha
attachment.php


attachment.php


attachment.php

mbona watu wachaache
hao watu ni wachache ukizingatia ni kijijini watu wameenda kushangaa helicopter

hiyo nyomi iko wapi hapo?
mbona kawaida? hao watu wameenda kusikiliza au kushangaa helicopter? nakumbuka 2005 mbowe alizuzuka na umati wa helicopter akaangukia pua
 
Back
Top Bottom