PICHA ZA leo

aaah ivuga umenikumbusha zenj hiyo picha yamwisho kiwengwahapo kaka ktk ile bridge unajirusha mpaka kuche,kweli zenj ninjema na atakae aje?zenj rrrrrraaahhaaaaaaah!!

yap ni kiwengwa hapa nyuma ya Obama Club, lakini hii bridge ni mbovu wanasubiri lianguke tu kwa hiyo usije jaribu kukanyaga utaabika lakini wenyewe wanapita kwa attention mpaka mwisho wa kile kijumba
 
zanzibar siku moja moja nenda kapumzike

58401111_windowslivewriter_a9739e4e84aa_13977_image_b933164ff3664da6bd02c7317187fc46.png
58401101_windowslivewriter_a9739e4e84aa_13977_image_1f9eb8bf306746239899ffeada9fe4fe.png

58401141_windowslivewriter_a9739e4e84aa_13977_image_995569ccdc794eeba84cd90c36685e86.png

msaada tutani naomba majina ya sehemu hizo nkasafishe macho.
 
aaah ivuga umenikumbusha zenj hiyo picha yamwisho kiwengwahapo kaka ktk ile bridge unajirusha mpaka kuche,kweli zenj ninjema na atakae aje?zenj rrrrrraaahhaaaaaaah!!

Bila shaka hizi Picha zoote ni kwa hisani ya Weakleaks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom