figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,715
- 59,251
Kaka unaamsha hasira za mnyarwanda.CCM imeleta maendeleo na hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu kwenye baadhi ya maeneo!.
Tunaipenda, tunaikubali na tutaendeleo kuichagua kwa kutuletea maendeleo.
P.
Sidhani hizi picha zote zimechukuliwa Tanzania. Hii ndo baadhi ya nchi kama Sudani ya kusini na Somalia. Hata hivyo aliyeleta huzi huu hajaonyesha zilipigwa lini? Mtu kuanza kuishutumu serikali ya CCM ni kuonyesha kwa jinsi gani wewe binafsi hujitambui. Kwa zaidi ya miaka 50 tumepiga hatua kubwa japo bado changamoto zipo lakini sio kwa kiasi kinachowakilishwa na picha hizi!!!!CCM imeleta maendeleo na hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu kwenye baadhi ya maeneo!.
Tunaipenda, tunaikubali na tutaendeleo kuichagua kwa kutuletea maendeleo.
P.
uchochez mkuu!CCM imeleta maendeleo na hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu kwenye baadhi ya maeneo!.
Tunaipenda, tunaikubali na tutaendeleo kuichagua kwa kutuletea maendeleo.
P.
Upo sahihi zote sio za Tanganyika lakin haiondoi ukweli kwamba kuna watanganyika wanaishi maisha kama hayo.Sidhani hizi picha zote zimechukuliwa Tanzania. Hii ndo baadhi ya nchi kama Sudani ya kusini na Somalia. Hata hivyo aliyeleta huzi huu hajaonyesha zilipigwa lini? Mtu kuanza kuishutumu serikali ya CCM ni kuonyesha kwa jinsi gani wewe binafsi hujitambui. Kwa zaidi ya miaka 50 tumepiga hatua kubwa japo bado changamoto zipo lakini sio kwa kiasi kinachowakilishwa na picha hizi!!!!
CCM imeleta maendeleo na japo sii lazima picha hizi ziwe zimepigwa Tanzania, lakini hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu kwenye baadhi ya maeneo!.Tunaipenda, tunaikubali na tutaendelea kuichagua kwa kutuletea maendeleo.
P.
Hapo mbona sijakuelewaCCM imeleta maendeleo na japo sii lazima picha hizi ziwe zimepigwa Tanzania, lakini hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu kwenye baadhi ya maeneo!.Tunaipenda, tunaikubali na tutaendelea kuichagua kwa kutuletea maendeleo.
P.
mkuu juzi tu mtu kawekwa ndani kisa kupiga picha watu walifanya mtiani njeSidhani hizi picha zote zimechukuliwa Tanzania. Hii ndo baadhi ya nchi kama Sudani ya kusini na Somalia. Hata hivyo aliyeleta huzi huu hajaonyesha zilipigwa lini? Mtu kuanza kuishutumu serikali ya CCM ni kuonyesha kwa jinsi gani wewe binafsi hujitambui. Kwa zaidi ya miaka 50 tumepiga hatua kubwa japo bado changamoto zipo lakini sio kwa kiasi kinachowakilishwa na picha hizi!!!!
Siyo kwa dongo hili!!!CCM imeleta maendeleo na japo sii lazima picha hizi ziwe zimepigwa Tanzania, lakini hii ndio hali halisi ya maendeleo yetu kwenye baadhi ya maeneo!.Tunaipenda, tunaikubali na tutaendelea kuichagua kwa kutuletea maendeleo.
P.
Weka namba ya simu mwisho Wa comment yako.Sidhani hizi picha zote zimechukuliwa Tanzania. Hii ndo baadhi ya nchi kama Sudani ya kusini na Somalia. Hata hivyo aliyeleta huzi huu hajaonyesha zilipigwa lini? Mtu kuanza kuishutumu serikali ya CCM ni kuonyesha kwa jinsi gani wewe binafsi hujitambui. Kwa zaidi ya miaka 50 tumepiga hatua kubwa japo bado changamoto zipo lakini sio kwa kiasi kinachowakilishwa na picha hizi!!!!