Picha za kuchora zenye uhalisia wa kweli

Picha za kuchora zenye uhalisia wa kweli

Duuuh thanks mkuu sikuwahi kujua kama kunawatu wanachora kama hviii duuh kweri kipaji toka moyoni
 
Zile za Leonardo da Vince ndo za kuchora.hizo ujanja ujanja mwingi.
 
Kama kitu hukijui badala ya kubisha ni bora ujifunze. Mi kwakuwa curious kwenye mambo mengi kuna rafiki angu mmoja ni Realistic painting artist huwa ananieleza sana haya mambo na kunipa reference mbalimbali. Na yeye anajitahidi sana sema uwezo wake haujafikia hizo picha, kibongo bongo anajitahidi.
Nashangaa kuna watu wanabisha as if wameshajaribu na kuona haiwezekani.
Huyo rafiki angu ni mwalimu wa fine art chuo fulani hivi.
 
mleta mada,
hivi ulikuwepo wakati zinachorwa?
mbona unalazimisha watu waamini kuwa ni za kuchora kweli?
wangeleta toka mwanzo wanaanza mpaka wanamaliza angalau tungeamini amini
complete figure zinachanganya

kama zilichoprwa hujazaliwa? wangekufikishiaje
 
kwahiyo Wamempiku hadi Leonardo Da Vinci kwenye mchoro wa Monalisa???
Kweli??
 
kwahiyo Wamempiku hadi Leonardo Da Vinci kwenye mchoro wa Monalisa???
Kweli??
Mchoro wa monalisa hauna utaalamu sana katika uchoraji ila kinachochanganya watu katika michoro ya leonardo ni mafumbo ya siri haliyo fichwa ndani ya michoro yake.
 
Hapa sasa.
Kazi ya roberto bernardi
article-2539172-1AA6940500000578-73_964x635.jpg
Hakuna chuo wanachofundisha kuchora kama hivyo hapa Tanzania?
 
Mchoro wa monalisa hauna utaalamu sana katika uchoraji ila kinachochanganya watu katika michoro ya leonardo ni mafumbo ya siri haliyo fichwa ndani ya michoro yake.
Vipi usiwe na utaalamu wakati ndio kazi ya mkono iliyo bora kabisa ulimwenguni..!??
 
Back
Top Bottom