Picha za kuchora zenye uhalisia wa kweli

Picha za kuchora zenye uhalisia wa kweli

Chunguza hizo zabibu utaona kivuli kwa chini! Maana yake zabibu zipo juu ya meza ya kioo. si yakuchorwa~~
hahahaaa mchoraji atakua kachora hadi kivuli pia.
Hata ile asali kwenye chupa ina kivuli cha rangi yake pia. Hii michoro hiiiiii
 
mleta mada,
hivi ulikuwepo wakati zinachorwa?
mbona unalazimisha watu waamini kuwa ni za kuchora kweli?
wangeleta toka mwanzo wanaanza mpaka wanamaliza angalau tungeamini amini
complete figure zinachanganya
Mkuu hakuna aliekulazimisha kuamini, kila mtu anauwezo wake binafsi wa kuchakata mambo, kama akili yako inakataa kuamini jambo hata kama ni la kweli wewe amini akili yako hivyo hivyo tu. Duniani kuna vitu very complicated, kuna wakati inahitaji akili ya ziada ili kuamini kuwa jambo fulani linawezekana, lakini tunapowaza kwa kutumia akili na mazoea hakika hakuna linalowezekana, Mungu ametoa vipawa vya ajabu sana kwa binadamu, mfano halisi ni michelangelo, ni binadamu aliekuwa na uwezo ambao mpaka sasa dunia inashindwa kuelewa.
 
Hatupendi kudanganywa hakuna picha yakuchorwa hapo uwongo wako peleka kolmmmmmje
 
Yaani kuna watu wapo kukatisha tamaa wengine.

Sasa jiulize kama ndio mchoraji mchanga hapa unajisikiaje??
Asilimia kubwa ya watu wenye mitazamo ya kuwa jambo fulani haliwezekani, hata katika maisha yao ni watu wa kushindwa, wanachukua mambo mengi katika mitazamo finyu kiasi kuwa ukiwaambia jambo fulani linawezekana hawatakubali asilani, hata ukiwaonyesha kwa mfano hai watakwambia hili haliwezekani na wala halijakuwa, japokuwa wanaliona dhahiri.
 
Chunguza hizo zabibu utaona kivuli kwa chini! Maana yake zabibu zipo juu ya meza ya kioo. si yakuchorwa~~
mjomba unashangaa hiyo simple? ona mchoro huu hapa chini wa mtu huyo huyo.
article-2539172-1AA70F1D00000578-245_964x679.jpg

Realistic: These stunning paintings were created by Italian artist Roberto Bernadi, 39

His work, which sells for between $20,000 and up to $125,000, is sold through the Bernarducci Meisel Gallery in New York.

He said: 'I can find inspiration from anything - I may see a scene that catches my attention anywhere and either photograph that scene or take the essence of that scene and create a totally new composition.



Read more: Artist Roberto Bernardi creates incredibly realistic paintings of everyday items | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
mleta mada,
hivi ulikuwepo wakati zinachorwa?
mbona unalazimisha watu waamini kuwa ni za kuchora kweli?
wangeleta toka mwanzo wanaanza mpaka wanamaliza angalau tungeamini amini
complete figure zinachanganya
Mkuu I'm a painting artist...
Believe me hizo picha ni za kuchora, Realistic painting artist huwa wanapenda kuchora picha ambazo ukiziangalia zinaonyesha wazi uwezo Wao!
 
hii picha namba 2 jamaa kajifunika lailoni siwezi amini hata kwa kushikiwa bunduki, pia picha namba 4 angalia nyasi hizo unachoraje kwa kutumia kitu gani?
 
Back
Top Bottom