Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Kwa blac and white naweza kuamini. Binadamu kuweza kuchora kwa mkono picha ya rangi yenye pixel kama za kawaida bila kutumia computer haijawai tokea
Kweli kabisa, haijawahi tokea katika ulimwengu wako wa fikra, lakini mengi yanafanyika ambayo watu wa ulimwengu wako hawawezi amini kuwa yamefanywa na binadamu.Kwa blac and white naweza kuamini. Binadamu kuweza kuchora kwa mkono picha ya rangi yenye pixel kama za kawaida bila kutumia computer haijawai tokea
Just because you believe its true doesnt mean it is true or false over.Kweli kabisa, haijawahi tokea katika ulimwengu wako wa fikra, lakini mengi yanafanyika ambayo watu wa ulimwengu wako hawawezi amini kuwa yamefanywa na binadamu.
Huwezi nilazimisha kuamini kitu kama huwezi kuprove.Hembu kaaa kando huko, kama hauamini inamaana haikihusu. Tafuta story nyingine zinazo fanana nawewe.
Kama huwezi kujiongeza mwenyewe hata nifanye nini huwezi amini, wewe nenda kapambane na bashite ndo saizi yako, haya mambo yahuku naona ni marefu huyawezi, umeambiwa PM kagushi jina, bila hata ku prove ukaamini na wote tumeamini , kwa hiyo kwa hapa pisha kando, kaa kimya au lete hoja yenye mashiko.Huwezi nilazimisha kuamini kitu kama huwezi kuprove.
Wewe hoja uliyoleta yenye mashiko ni ipi labda. Unakuja kudanganya watu hapa. Kwanza katika watu wako uliowataja cjaona hta aliyepo kwenye kumi bora ya best painters of all timeKama huwezi kujiongeza mwenyewe hata nifanye nini huwezi amini, wewe nenda kapambane na bashite ndo saizi yako, haya mambo yahuku naona ni marefu huyawezi, umeambiwa PM kagushi jina, bila hata ku prove ukaamini na wote tumeamini , kwa hiyo kwa hapa pisha kando, kaa kimya au lete hoja yenye mashiko.
HahahahYaani kuna watu wapo kukatisha tamaa wengine.
Sasa jiulize kama ndio mchoraji mchanga hapa unajisikiaje??
[emoji28] [emoji28] [emoji28] yaani huyu mbwana hata camera zinamshangaa.
Ohooooo!!!wataelewa tu.= hamjaridhika
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?