Picha za kuchora zenye uhalisia wa kweli

Picha za kuchora zenye uhalisia wa kweli

6613c28d562a4bad448022e1d94575e1.jpg


Hii picha ya uongo kabisa

Yani mwanga wa jua
Kivuli
Majani live pure

Sio kweli
Ilishaelezwa kwamba waafrika tuna IQ ndogo ukilinganisha na wazungu mkuu, wale jamaa wako mbali kubali kataa[emoji23]
Siunaona mpaka picha wanachora wewe na Mimi bado akili zetu zinashindwa kung'amua
 
Hakuna picha ya kuchorwa hapo, mmetudanganya vyeti hamjalizika sasa mnatudanganya na picha!
Ikiwa hata maneno tu huwez kuyachora kiustadi wa kawaida tu, we funga kopo lako. Ndio nyie nyie ambao huwa hamkubali mkiambiwa aliefuzu karate vyema anaweza pigana na watu 50 na zaid kwa mara moja
 
Ndio maana katika Afrika ya Mashariki vijana wa kitanzania tumekuwa tukiongoza mkiani kila kukicha. Kama huwezi wewe, usikusanye kundi zima ukautangazia umma kuwa hawawezi. Stand on ur own always
 
Back
Top Bottom