PICHA za KIGOMA: RAIS JAKAYA KIKWETE NA MKEWE WAKIWASILI;MICHUZI PIA,

Kweli wewe ni Mbulula Kama Bavicha yenu inavyoitwa.Unatumia kichwa kufugia nywele tango kabisa

Na ni kwanini KITU CHOCHOTE NDANI ya CCM kikiKOSOLEWA na KUWA na STATUS;REALITY;POINT to REALIZE or QUESTIONING it's DIRECTION's --- MAWAZO ya WENGI WAPENDA CHAMA CHA MAPINDUZI huwa Wanaelekeza UVIMBE na UPWEKE WAO kwa CHADEMA au nini ile oooh BAVICHA???

Hauwezi KUJUA MUULIZA MASWALI ni MWANANCHI HURU? MWANANCHI MPENDA NCHI YAKE? ASIYEFUNGAMANA na VYAMA VYOYOTE au ITIKADI FINYU ila UHURU na USAWA kwa WOTE????

Wakati na Baada ya UHURU MPAKA 1990; UPINZANI wetu wa kuwa na WABUNGE wawili wa CHAMA KIMOJA ilikuwa ni ITIKADI na SIO VYAMA.... VYAMA VIMEKUWA 1995; Kwahiyo Wengine KuKIMBILIA au KUTUKUZA VYAMA ni NJIA MOJA ya KUJICHUNGA na KUENDELEA KULA cha WALIPAKODI....
 
Hicho ni kihingereza, manahake jamaa kahamua kuhandika ruga ya marikia!

Mnamwonea bure Tayadi; uliandika si ki-engereza na hata hiki ki-swahili pia sicho.
"Kihingereza, Manahake, Kahamua, Kuhandika..."
Au ndio mnavyojifunza katika hizi sijui academic, international etc
 
51.jpg


Wanavyomtazama michuzi ni kama moyoni wanasema
ukirogwa tu ukaandika habari ya tembo umekwisha
 
toka UN hadi Kigoma. Kweli Migiro kapotea. bora angestaafu akalime kisamvu nyumbani kwake.
 
:becky::becky::becky::becky::becky: Hadi kamasi zimenitoka!
andate
Umetisha hizo picha zinavyoongea!
Hasa hapo HAMNIROGI KWELI...
 




Wadau kutoka CCM Makao Mkuu kutoka kulia ni Lusekelo,Dr. Alice,Hassan,Jestina na Beatus wakishoo

[/QUOTE]
Macho yangu au? uchaguzi si ulishaisha, sasa umetuvalia mtisheti wa nini huu wewe? au hamjapewa mpya bado.
 
Najiuliza ile ndege tuliyomnunulia raisi baada ya kujibana kiuchumi iko wapi?naona bado raisi anatumia ndege ile ile ya zamani inayotumia mapangaboi iliyopitwa na wakati. Watanzania tumechoka kupewa kiswahili kizuri huku wachache wanatuibia fedha zetu zinazotokana na kodi hasa wafanyakazi.
 
hakuna kitu, wakimaliza watupe ripoti ya kiwango cha ukimwi kilivyoongezeka baada ya sherehe
 
Exposure huna, zipo mpaka ch*pi ambazo watu wanavaa tu hadharani, mpaka toilet paper za Bendera yao zipo madukani. Tena ukipita hapo ubalozi na hizo unaweza hata kupata viza ghafla! Una umri gani mzee? karne ya 21 hii, na hiyo inaitwa patriotism!

Martin luther king aliwahi kusema kuwa ubora wa mtu haupimwi kwa idadi ya miaka aliyoishi duniani bali hupimwa ni kwa namna gani alitumia elimu, madaraka au cheo na muda wake alioishi duniani kuisaidia jamii yake iliyomzunguka. Kiongozi au kada wa chama cha kisiasa kama Nchemba kuvaa bendera au nembo yoyote ya nchi haimsadii kumuongezea sifa au umaarufu wowote kama jamii husika haioni mhusika kama anasitahiri sifa hizo au kama kweli matendo na uongozi yake unahamasisha amani, upendo na ushirikiano miongoni mwa watz bila kujali itikadi za vyama vya kisiasa, rangi ya mtu, dini, kabila au ukanda unadumishwa. Mtu anayehamasisha propaganda, uzushi na chuki miongoni mwa watz kwa sababu ya tofauti ya itikadi ya vyama vya kisiasa.
 
Aisee watu wamechokaa au ni macho yangu? Bi Asha Rose Migiro kawa bibi kina Wasira ndo kabisa achilia mbali hao wananchi.
Kweli bongo life msoto dah
 
Fastjet akimaliza muda wa urais wake na hiyo ndege ipigwe mnada maana itakuwa haifai kwa matumizi ya Rais ajaye maana itakuwa imechoka mbaya!
 
Back
Top Bottom