Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,017
- 6,777
Ni vizuri umewakumbusha. Sasa wako bize wanajipongeza kwa kuikamata Serikali.Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli ,nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpy Mh Samia Suluhu ,aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha serikali haina mikakati ,yaani siku ya kutangazwa amefariki pale pale ilibidi kampun yakutengeneza pisha hizo ilipwe siku ya kuapishwa ofisi zote awepo MFARIJI AKA MAMA WA TAIFA .