Picha za Hayati Magufuli zitolewe maofisini

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,133
Reaction score
14,640
Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli

Nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpya Samia Suluhu

Aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha Serikali haina mikakati

Yaani siku ya kutangazwa amefariki palepale ilibidi kampuni yakutengeneza picha hizo ilipwe siku ya kuapishwa ofisi zote awepo MFARIJI AKA MAMA WA TAIFA .
 
Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli ,nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpy Mh Samia Suluhu ,aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha serikali haina mikakati ,yaani siku ya kutangazwa amefariki pale pale ilibidi kampun yakutengeneza pisha hizo ilipwe siku ya kuapishwa ofisi zote awepo MFARIJI AKA MAMA WA TAIFA .
Ushamchomea mtu tayari [emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu, Kwan picha hizo za Marais huwa zinapatikana wapi?
 
Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli ,nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpy Mh Samia Suluhu ,aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha serikali haina mikakati ,yaani siku ya kutangazwa amefariki pale pale ilibidi kampun yakutengeneza pisha hizo ilipwe siku ya kuapishwa ofisi zote awepo MFARIJI AKA MAMA WA TAIFA .
Ukiona hivyo hao ndiyo wanampiga vita mama Samia.

Sijui kwanini hawataki kukubali kuwa jiwe kesha jiondokea duniani.

Dawa ya viongozi kama hao wanao Fanya dharau ni kuwafukuza kazi kabisa.
 
Nakumbuka kuna kipindi Makonda alitoa agizo kwa kila ofisi kuhakikisha wanaweka picha ya magufuuli.
 
Ujinga wa yule kijana sijawahi ona duniani ,sijui sababu ameua sana watu? saizi anahatarisha maisha yake eti amehamia Arusha na anazurura
 
Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli ,nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpy Mh Samia Suluhu ,aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha serikali haina mikakati ,yaani siku ya kutangazwa amefariki pale pale ilibidi kampun yakutengeneza pisha hizo ilipwe siku ya kuapishwa ofisi zote awepo MFARIJI AKA MAMA WA TAIFA .

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Ujinga wa yule kijana sijawahi ona duniani ,sijui sababu ameua sana watu? saizi anahatarisha maisha yake eti amehamia Arusha na anazurura
Huko alikoamua kwenda ndiyo hawanaga masihara akiwaletea umbwiga wanamshughulikia
 
Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli ,nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpy Mh Samia Suluhu ,aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha serikali haina mikakati ,yaani siku ya kutangazwa amefariki pale pale ilibidi kampun yakutengeneza pisha hizo ilipwe siku ya kuapishwa ofisi zote awepo MFARIJI AKA MAMA WA TAIFA .
Mkuu ungekuwa muadilifu ka vitu na mda kiasi hiki niakushauri uwe wa kwanza- tudisha mashmaba yote aya urithi
 
Sijui kwa nini mpaka sasa unamuogopa Magufuli kiasi hiki, picha tu ya ngosha inazuiaje utendaji kazi wa mama!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
kwa hiyo mkeo abaki na picha za ex wake ? Nani anamuogopa maku yule
We kijana uwe na adabu! hata kama alikosea(kwa mtazamo wako) bado haikupasa kumporomoshea tusi.Yule ni sawa na baba/babu yako.Hakuna binadamu hakosei mkuu
Kwa lugha ulotumia utakuwa mtu mwenye heshima zako ,Mtu akifa mabaya ni ya mungu wake ,mazuri ni yetu wanadamu wenzie ,tatizo huyu nina ishu nae binafsi leo ningekuwa sitype hapa angeishi hata mwezi n,na nakusihi usishiriki dhambi isiyokuhusu huyu kuna watu sio mashoga wamelawitiwaa kipindi chake kwa amri yake ,Arushs wamenyanganywa hela matajiri si chini ya 30 (siongelei kodi ni unaambiwa leta cash bil 2 na hakuna risiti au unaletewa bil na tialaei ya bil 4 na uhujumu uchumi juu
 
kwa hiyo mkeo abaki na picha za ex wake ? Nani anamuogopa maku yule

Kwa lugha ulotumia utakuwa mtu mwenye heshima zako ,Mtu akifa mabaya ni ya mungu wake ,mazuri ni yetu wanadamu wenzie ,tatizo huyu nina ishu nae binafsi leo ningekuwa sitype hapa angeishi hata mwezi n,na nakusihi usishiriki dhambi isiyokuhusu huyu kuna watu sio mashoga wamelawitiwaa kipindi chake kwa amri yake ,Arushs wamenyanganywa hela matajiri si chini ya 30 (siongelei kodi ni unaambiwa leta cash bil 2 na hakuna risiti au unaletewa bil na tialaei ya bil 4 na uhujumu uchumi juu
Daaah! vita vilikuwa vya wewe na yeye,amekufa mshindani wako yanini kupambana na mfu,amka jitibu majeraha mambo yaende
ILA nimekuelewa mkuu, na sirudii tena kukulaumu
 
Back
Top Bottom