Picha za Fight between Drake and Chris Brown

Picha za Fight between Drake and Chris Brown

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
This is what happens when men have more money than sense. Guys,no woman is worth fighting over not even Rihanna.

​
 
hapa bado sijelewa somo, plse fafanua kidogo tupate unachotaka kutueleza hapa
 
mapenzi kweli yana run dunia.............
 
Rihanna na Wema Sepetu wana tofauti kweli?
 
Rihana reliable income, can you tell me what is Wema earning for living?

tukianza hayo mwisho tutasema JK sio President like other Presidents since anategemea misaada kutoka nje
 
boss, naona umeenda mbali, I just want to compare likes and likes. Mimi kusema kweli sijui fani ya Wema zaidi ya kuuza sura, however I can see some similarity with JK here lol
 
Last edited by a moderator:
Rihanna na Wema Sepetu wana tofauti kweli?
please Mkuu tusifanye kuwa sifa tunapoambiwa waTanzania akili zetu ni evereji .... hivi unamfananisha Rihanna na wema sepetu ?usimtowe Mungu shukurani kwa kipi kilichokupelekeaukawaweka levuli moja? si kimwili si kiwiliwili na wala si kimawazo hivi umebahatika kuona mwili wa wema ? bure hali mie hushangazwa sana na wanaokwenda mbio kumfukuzia wema inawezekana kuna siri kubwa ndani yake sitoshanga nikasikia anatowa (Shilingi )
 
Hivi bado kuna wanaume wanapigana kwaajili ya Ndude??
 
yah man...yamenikuta mimi juzi,yani swaiba wangu kabisa kanipelekea chupaa ya kichwa kisa demu.demu hamtaki jamaa ana force demu akaamua kusepa na mimi hahahaa

Duh! Pole sana mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom