This doesnt apply to me my Dear. I live by my standards, not by friends influence.
For your information, there is a difference between face book ''friends'' and friends.
Siku hizi haiitwi tena Facebook, inautwa Uchibook
Hahahah hatari!
Oh really? Whats the difference? Nijuze mwaya..
Hivi ni marafiki zangu tu au?
1, Kuna mmoja kaweka picha akiwa kakaaa chini, mapaja nje hala kufuli jeupe linaonekana kwa mbaaali.
2. Kuna mwingine kaweka picha kavaa kanga moja halafu kalowa maji mwili mzima ni kama vile yupo uchi.
3. kuna mwingine kaweka picha maziwa yote nje4. the list goes on.....
what massage are relly these photo sending out?
if what am thinking is correct then put your contacts too.
jamani mashosti acheni kutudhalilisha wanawake!!!
namba anuani yake ya facebook pleaseHivi ni marafiki zangu tu au?
1, Kuna mmoja kaweka picha akiwa kakaaa chini, mapaja nje hala kufuli jeupe linaonekana kwa mbaaali.
2. Kuna mwingine kaweka picha kavaa kanga moja halafu kalowa maji mwili mzima ni kama vile yupo uchi.
3. kuna mwingine kaweka picha maziwa yote nje
4. the list goes on.....
what massage are relly these photo sending out?
if what am thinking is correct then put your contacts too.
jamani mashosti acheni kutudhalilisha wanawake!!!