Mkanye dada mkemee kabisaNdugu zangu leo sister alikuja kunitembbelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ninzuri.
Sasa nimemaliza kupiga picha nika jirushia na kuzifuta nika enda kwenye recycle bin nikzifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.
Maana nilikuta picja kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninae mjua duh,
Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye ana zagamuliwa nje ya ndoa yake.
Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi,
Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.
Weka pichaNdugu zangu leo sister alikuja kunitembbelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ninzuri.
Sasa nimemaliza kupiga picha nika jirushia na kuzifuta nika enda kwenye recycle bin nikzifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.
Maana nilikuta picja kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninae mjua duh,
Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye ana zagamuliwa nje ya ndoa yake.
Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi,
Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.
Dah wanaume tunapunguwa skuizi wewe kuliwa aliwe dada ako afu kuumia uumie wewe
dada ake akiachika. aishi kwako au? uo mzigo abebe nani?? its fun and games ila omba isitokee kwenye familia yako.Dah wanaume tunapunguwa skuizi wewe kuliwa aliwe dada ako afu kuumia uumie wewe
Okaykama unataka uwe chanzo cha kero kwa wazazi wako mwambie shemeji yako, ningekuwa mm ningemwita sister nampeleka sehemu tulivu tunapata juice then nampa makavu na mwisho namwambia uamuzi ni wake kuacha au kuendelea ila akija kufumwa na kuvurumishwa na mumewe nisimwone karudi kwa wazazi aende kwa mchepuko.
ephen_ una kaka weye?