FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,995
- 47,066
Aisee
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna wanaume wanashinda wanacheza pool jaman mie huwa nakasirika ! mie niliwah fundishwaga na mume wangu nikajua kwa mwanamke ni kichocheo tu cha uhuni !huna aman ukiinama nikaudump kwa dustbin !