Nubian Ancient
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 958
- 1,183
Kama yupo unamfahamu hapa mtaje.
[emoji2][emoji2]Mtoto si ataota USIKU dah
Huyu jamaa dizain kama anatumia ule mmea wetu wa peponi..Katikati Mobior John Garang mtoto wa Shujaa wa South Sudan; marehemu Dr.John Garang
Mmea wa peponi unaitwa Mkunazi (Sidratul al-Muntaha), sijuhi kama utakuwa na maana nyingine.Huyu jamaa dizain kama anatumia ule mmea wetu wa peponi..
Amewahi kuwa waziri wa maji kama sikosei.Katikati Mobior John Garang mtoto wa Shujaa wa South Sudan; marehemu Dr.John Garang
Huo huo shekhe wangu..😂Mmea wa peponi unaitwa Mkunazi (Sidratul al-Muntaha), sijuhi kama utakuwa na maana nyingine.
Exactly!Amewahi kuwa waziri wa maji kama sikosei.