Picha yangu ya leo hii


Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi akipewa maelezo na daktari wa hospital ya Selian juu ya mtoto aliyejeruhiwa katika bomu lililorushwa kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani wa chadema juzi
 

Askari wakiwatawanya Wananchi waliokusanyika katika viwanja vya Soweto jijini Arusha kuombeleza vifo vya wenzao waliouawa kwa bomu.PICHA: WOINDE SHIZZA
 

Mbunge wa Nyamagana (CHADEMA), Ezekiel Wenje (Wapili kushoto), akimuondoa mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa (Wapili kulia), baada ya ``kukwaruzana`` kwa maneno na mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Mwigulu Nchemba, (Kushoto), wakati walipokutana kwenye semina ya siku moja ya Wabunge wanaopambana na Ukimwi, kwenye ukumbi wa St. Gasper mjini Dodoma jana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…