Dar es Salaam Water and Sewage Authority (Dawasa) meter readers use an electronic gadget to get information on bills during operation at Mbezi Beach in Dar es Salaam yesterday. (Photo: Omar Fungo)
Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake wakitembezwa kwenye makao makuu ya Mamlaka ya Ustawishaji Upya wa Miji nchini Singapore jana ambako walijionea mfano wa mji unapangwa na kusimamiwa kisayansi kwa mipango miji ya muda mfupi na muda mrefu.
Jaji Mstaafu, Mark Bomani akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya maoni yake ya Rasimu ya Katiba mpya, iliyotolewa na Tume ya Marekebisho ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba hivi karibuni.