Picha yangu ya leo hii



Mzee Nisaidie sijuwi itakuwaje Masuala ya ufumbuzi wa Tatizo la Nishati ya Umeme nashindwa kupata ufumbuzi nisaidie mzee wangu.....

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto), akimsililiza Waziri wa Nishati na Madini , William Ngeleja, mara baada ya Waziri Mkuu kufungua mkutano wa wadau wa mafuta na gesi, jijini Dar es salaam jana. Katikati ni mwenyekiti wa chama cha wadau wa mafuta na gesi nchini, Balozi Isaya Bakari Chialo. Picha na PMO

 

Tricyclist takes a well-deserved rest while waiting for customers just next to Ubungo Bus Terminal in Dar es Salaam yesterday. (Photo: Khalfan Said)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…