Picha yangu ya leo hii


Rais Jakaya Kikwete, akikagua gwaride katika sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana.
 

Ruling Chama cha Mapinduzi Central Committee members at a crucial meeting on Friday to advise President Jakaya Kikwete on various issues, including the way forward in bringing about changes in the cabinet.
 

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman (kushoto), akimkabidhi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, tuzo ya mafanikio ya mwaka 2010-2011, inayotolewa na mashirika binafsi ya Umoja wa Mataifa,(UN-NGOs), katika hafla ya shukrani iliyoandaliwa kwa pamoja na Umoja wa Mataifa Ofisi ya Tanzania na Global 2000(2011) International.
 
Mkuu ukishi kwa mazoea ya misaada, hata pale ambapo unahitaji nguvu,bidii na maarifa yako ,uta hitaji MBELEKO TU!!!
NACHUKIA mISAADA INAYODUMAZA AKILI..
 

A food vendor, Rose Kimati, sells rice and other foodstuff at Mwenge market in Dar es Salaam yesterday. There has been a sudden increase in the prices of food items in the city. (Photo: Tryphone Mweji)
 

Rais Jakaya Kikwete, akilakiwa na mamia ya wakazi wa Jiji la Tanga jana baada ya kuwasili kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi leo. Rais Kikwete, ni mgeni rasmi katika maadhimisho hayo.
 
'' Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu. Nasema kama na watu wenye akili; lifikirini ninyi ninenalo '' 1 Wakorintho 10: 14-15.
 

Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue (kulia), akimkabidhi funguo za jengo Mwenyekiti wa Tume ya kuratibu maoni kuhusu muundo wa Katiba mpya,Jaji mstaafu,Joseph Warioba, katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Tume,barabara ya Ohio jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia ni Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani.(PICHA: KHALFAN SAID)
 


Kipanya nae ataka kugombea Uongozi wa Mpira Uchaguzi Mkuu ujao kasheshe kweli huko Tanganyika mnaongozwa mpaka na akina Vipanya?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…