Picha yangu bora 2010- Yote njaa

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
yote njaa.JPG
 
Mimi namuonea huruma tu huyo mama maana maneno aliyoandika hapo kweli yanaonesha anapatashida sana ndio maana anasema Yote Njaa!
 
wanawake na maendeleo. heko wanawake wote, ule wakati wa magolikipa umekwisha
 
Jojipoji kwa hii picha chukua $1500 kupitia njia ya mungu ya upepo, big up
 
Yaani bibi kanitia njaa baada ya kuona masamaki hayo, basi uyapate na ugali/wali na maharage! Food for soull
 
Judith japo wanawake kwa maendeleo ila wapo wanapatashida sana kutafuta tonge lao la kila siku!

sawa laki i katika maisha ni kawaida kutaabikia tonge na wanawake sasa hawagwai tena taabu za kusaka tonge kama wanaume, so pamoja na haja ya kuwezeshwa zaidi, lakini nafarijika kuona wanawake wamepuuza hizo taabu nao wameamka kupambana kiume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom