Wapoti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 2,824
- 1,100
Rais dhaifu anayeongoza Serikali dhaifu. Hapo hakuna kilio bali ni unafiki tu....
hapo analilia tieni tieni kwa moyo mmoja mambari wanieee nambari wani ni CCM
Rais dhaifu anayeongoza Serikali dhaifu. Hapo hakuna kilio bali ni unafiki tu....
Ulikua unafiki sana mkuu. Ile ilikua ni public display kudanganya watu a kupoteza maboya. Ikumbukwe huyu jamaa alisema kuwa vuguvugu za kuchaguliwa uwaziri mkuu zilivyoanza na jina lake kuwemo kwa walikua wakipendekezwa alisali na mke wake kuwa kikombe kile kimpite maana ni jukumu kubwa sana! Leo hii ndio huyo huyo aliyejifanya hapendi uwaziri anatangaza kugombea Uraisi.mkuu uwezo wako wa kusaikolojia ni wa upeo wa juu
Ulikua unafiki sana mkuu. Ile ilikua ni public display kudanganya watu a kupoteza maboya. Ikumbukwe huyu jamaa alisema kuwa vuguvugu za kuchaguliwa uwaziri mkuu zilivyoanza na jina lake kuwemo kwa walikua wakipendekezwa alisali na mke wake kuwa kikombe kile kimpite maana ni jukumu kubwa sana! Leo hii ndio huyo huyo aliyejifanya hapendi uwaziri anatangaza kugombea Uraisi.
Pinda mnafiki sana, a true politician! Na huyu issue ya albino achunguzwe, maana katoka from nowhere huyu kwenye political circles. At least kina mkapa, kikwete, warioba, salim tunawaona wakitajwa tajwa kwenye historia hata picha tunaona. Huyu katoka wapi huyu?? Kama sio kazi albino?
huu wimbo ndio humfanya acheze leo anaulilia
Mbona wakati wa kumwaga Jk anatabasamu baadaye analia au zile nyimbo zilimgusa Komba ndo ameshaondoka huwezi kurudi tenaHapa alikua akichekaView attachment 231780
Hapa alikua analia amebakiza miezi michache vile ving'pra na safar zitapunguaView attachment 231781