Picha ya Wiki Nzima: Rais Kikwete Akimwaga Chozi..................

Nimekutana na maneno kuntu sana humu kwenye hii thread aiseee, kuna baadhi ya mambo sijapata kuyajua hata siku mpja ikiwa hili la comment la Mrs. Mnazi wa CCM hahahahahaaaaa et analilia Kifo cha CCM, watu wanabadilika jamani.
 
mimi pia nimeshangazwa na hilo
 
Nimekua na wasiwasi sana na vilio vya hadharani kwa viongozi kama kile cha Pinda luhusu albino bungeni. Historia na personal experience yangu inaonyesha wasaliti wakuu ndio huwa wanafiki namba moja.
Hupenda kuonekana wao ndio most innocent wakati ndio the most guilty. Mifano ni mingi kuanzia kabla akina Yuda escariot mpaka leo hii
 
Lakini xwanga hakuna mauaji ya Albino.
 
Kweli wanawake wanaweza, yaani mwanaume anatiririka mchozi mwanamke mkavu kama dagaa kauzu.
 
Nimekutana na maneno kuntu sana humu kwenye hii thread aiseee, kuna baadhi ya mambo sijapata kuyajua hata siku mpja ikiwa hili la comment la Mrs. Mnazi wa CCM hahahahahaaaaa et analilia Kifo cha CCM, watu wanabadilika jamani.
ipo siku kila mtu ataichukia CCM
 
pinda analilia urais Kikwete anatafuta umaarufu mwishoni
Nimekua na wasiwasi sana na vilio vya hadharani kwa viongozi kama kile cha Pinda luhusu albino bungeni. Historia na personal experience yangu inaonyesha wasaliti wakuu ndio huwa wanafiki namba moja.
Hupenda kuonekana wao ndio most innocent wakati ndio the most guilty. Mifano ni mingi kuanzia kabla akina Yuda escariot mpaka leo hii
 
baada ya siku mbili tatu rudi hapa utasikia wahuni wamefukua kwa kuwa jamaa alikua anapenda cheni sana
Kwa lile zege la takriban tani 1 sio rahisi kuliinua labda waje na tingatinga tena, ingekuwa la kufukiwa kwa mchanga sawa.
 
Hapa alikua akicheka ImageUploadedByJamiiForums1425463581.758896.jpg

Hapa alikua analia amebakiza miezi michache vile ving'pra na safar zitapunguaImageUploadedByJamiiForums1425463664.672936.jpg
 
Nimekua na wasiwasi sana na vilio vya hadharani kwa viongozi kama kile cha Pinda luhusu albino bungeni. Historia na personal experience yangu inaonyesha wasaliti wakuu ndio huwa wanafiki namba moja.
Hupenda kuonekana wao ndio most innocent wakati ndio the most guilty. Mifano ni mingi kuanzia kabla akina Yuda escariot mpaka leo hii

mkuu uwezo wako wa kusaikolojia ni wa upeo wa juu
 
Back
Top Bottom