pesa zote nilizofilisi wananchi kweli na mimi nitakufa nizikwe na kaunda suti ... mkululu aamini lakini wote lazima tuende msituni
Mkulu atazikwa na shuka jeupe tuu
Wala hamlilii komba,
Analilia kifo cha ccm.
..kambi popote wataimba zile nyimbo zetu...dhahiri shari, anakwenda kuungana na kapt aliyetangulia
Wala hamlilii komba,
Analilia kifo cha ccm.
pesa zote nilizofilisi wananchi kweli na mimi nitakufa nizikwe na kaunda suti ... mkululu aamini lakini wote lazima tuende msituni
Mamdenyi yupo anapambana na FF