Mkuu Pasco
Sijaona uchochezi hapo
Au wakoloni weusi wewe huwaoni
Watu wanaojilimbikizia na kujigawia cake ya taifa wao na familia zao tuwaiteje
Watu wanaojigawia rasilimali za nchi bila kujali maisha ya wananchi wa kawaida tuwaiteje
Watu wanaomiliki uchumi wa nchi yetu bila kujali wananchi wa hali ya chini au upatikanaji wa huduma muhimu kwa wananchi wao tuwaiteje
Watu wanaokandamiza haki za raia wa hali ya chini bila kujali na wao wana haki ya kuishi tuwaiteje
Watu ambao wako radhi kuuza nchi wakiwa kama viongozi waliokabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi tuwaiteje
Hayo yote ni maswali Pasco
huwezi jua kama huwajui watu hawa labda ungeoneshwa unaowajua ungeona muhimu wao wana mapinduzi halisi si chama cha mapinduzi wa uongo saluute che r.i.p
huwezi jua kama huwajui watu hawa labda ungeoneshwa unaowajua ungeona muhimu wao wana mapinduzi halisi si chama cha mapinduzi wa uongo saluute che r.i.p