Mkuu kizazi hicho kimepita
Walioobaki kwa sasa ni mafisadi na wachumia tumbo wasiojali haki wala utu wala maisha ya wanyonge
Kimebaki kiazazi cha wezi na mabaka uchumi tuu ambao wako tayari kunywa dam za wanyonge mradi wao wafaidike na kile wanachotaka
Hatuna tena watu kama Che au Castro mkuu
Che ni kitu ingine bana
Naamini wapambanaji hawa wangekuwepo kwa sasa japo sio katika kupambana ili kupata uhuru bali kupambana na ufisadi na wizi unaofanyika mambo yangekuwa mazuri sana