Picha ya siku

Picha ya siku

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
At Atlantis, The Palm, well-heeled holidaymakers can retreat to the privacy of their own suite, with thrilling aquarium views
2B8B677A00000578-3204937-image-a-4_1440141264850.jpg
 
Sasa hapa, kama hivyo vioo vikipasuka na hao papa wakiingia chumbani si uroda utakuwa umekwisha.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Sasa hapa, kama hivyo vioo vikipasuka na hao papa wakiingia chumbani si uroda utakuwa umekwisha.

Hahaaa!, umenichekesha mkuu na umewaza kama mimi!, lakini hao sidhani kama ni papa...lol!
 
Mmmm, lakini mimi kiroho kitakuwa kinadunda tu. Pengine hata maboz nikashindwa usiku huo.

Kuna kipazia cha kufunika hapo nyuma...

yan mi hapo ningepiga mbonji na kukoroma mpaka samaki waandamane...
 
Hapa wale simba na chui kutoka hapo mwituni, au hata nyumbu tu, wakipita hapa si ndio itakuwa tamati ya hiyo honeymoon yenu?

LOL!,.... Kifyatu I can tell you're not a "Nature" kind of a person. Nisicheke sana mimi mwenyewe siwezi kumkaribia hata mnyama aliyekufa, huwa nawaza tu suppose aamke ghafla....lol!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah tuweke mahela kwenye kibubu lol yakijaa twende shostito

Mdekee mzee kidogo wewe!!! kui pia

Mwambie kuwa siku hizi wala hujisikii kupika yale mahanjulmati anayoyapenda. Kuwa unajisikia kuchoka na unahisi kama mkienda vacation kwenye hoteli yenye vyumba chini ya bahari pengine itasaidia.

Mzee atatahuriki (kukosa mapishi yako mazuri - haiwezekani) na kabla hujajua kilichotokea utakuwa hapo ATLANTIS - The Palm.

Nasubiri shukrani zako kwangu ukirudi vacation.
 
Hahahahah lol ahsante kwa ushauri 😜😜😜😜😜

Kuanzia kesho jikoni atalala paka lol
 
Last edited by a moderator:
Mdekee mzee kidogo wewe!!! kui pia

Mwambie kuwa siku hizi wala hujisikii kupika yale mahanjulmati anayoyapenda. Kuwa unajisikia kuchoka na unahisi kama mkienda vacation kwenye hoteli yenye vyumba chini ya bahari pengine itasaidia.

Mzee atatahuriki (kukosa mapishi yako mazuri - haiwezekani) na kabla hujajua kilichotokea utakuwa hapo ATLANTIS - The Palm.

Nasubiri shukrani zako kwangu ukirudi vacation.

Hehehe!, farkhina tunapewa maujanja tusitumie za kudunduliza....lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom