englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Rais wa Uruguay, Jose Mujica akiwa akiwa kwenye foleni akisubiri kumwona daktari kwenye hospitali ya umma.
![]()

Dah umenifurahisana!Nimecheka hadi mbavu zimepanuka!....Huyu rais anatembelea bitle!Hapa miv8 XV 10 msururu ukiuza unapata bitle 200!
!
jk kipele tu anakwea pipa.
big up sana,jamaa anamengi sana anayafanya bila kutumia cheo cha urais,![]()
Rais wa Uruguay, Jose Mujica akiwa akiwa kwenye foleni akisubiri kumwona daktari kwenye hospitali ya umma.
View attachment 167410
Kuna nchi nyingine sasa hivi hata kwenda kumpokea hawajishughulishi
Sent from my iPad using JamiiForums
![]()
Rais wa Uruguay, Jose Mujica akiwa akiwa kwenye foleni akisubiri kumwona daktari kwenye hospitali ya umma.
TZ sijui kama itakuja tokea
Dah umenifurahisana!Nimecheka hadi mbavu zimepanuka!....Huyu rais anatembelea bitle!Hapa miv8 XV 10 msururu ukiuza unapata bitle 200