englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
unakosa uhondo badilisha simuEnglibert picha zako huwa sizioni kwa simu yangu, kuna nini sjui natumia iPhone 5s
i know iphone is the one of best phone nashangaa hiyo yako kwanini isumbue are you sure ni original?
i know iphone is the one of best phone nashangaa hiyo yako kwanini isumbue are you sure ni original?
Mimi natumia iphone mbna naona, bonyeza neno full uko chini utaona
pole sanamkuu kwa nchi ninayoishi hakunaga fake iphones iko na warrant kbs, anyway labda ni hii wi-fi haiko sawa
Pinda hiyo staili ya kihaya
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Nafuata staili ya baba Kikwete