ng'ombo
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 418
- 619
we mtoto mweeee!! Makinda`z voice
🙄🙄🙄jaman ! sasa hv sidhan km ndugai anaweza yarudi hata na halima !mfyu
Tena wapinzani wakimtukana sana na kuandaa maandamani ndio kwanza kikwete atawaita ikulu kunywa nao juice yaanj Mungu anisamehe kwa yote niliyomtukana kikwete sasa tunakomeshwa na huyu mwehuHuu ndiyo wakati upinzani ulikuwa upinzani, rais aliitwa dhaifu na wakikutana wanasalimiana kwa kushikana mikono na tabasamu
Kikwete ni kiongozi sasa unapopata wachunga ngo'mbe kuongoza raia ni ngumu kidogoTena wapinzani wakimtukana sana na kuandaa maandamani ndio kwanza kikwete atawaita ikulu kunywa nao juice yaanj Mungu anisamehe kwa yote niliyomtukana kikwete sasa tunakomeshwa na huyu mwehu
Wewe unaona iko vipi?Hivi mnataka kusema serikali na wapinzani ni maadui kama tunavyoona mivutano ya kisiasa
Enzi hizo alikuwa hapingi kila kitu.