Picha ya siku.

c04f0d3f50307512536d1d3a1165f61a.jpg
..mama wa watu kaulaa afu tena kule kilimanjaroooo
 
Wanasiasa wa Tanzania njaa tupu. Angekataa cheo hiki angeheshimika mno. Au ni kwa vile ACT haina ruzuku? Viongozi wetu hawafikirii legacy wala nini. Yaani wao ni matumbo yao tu.
 
mbona kipindi magufuli ameshinda huyohuyo mama alimkabidhi magufuli kitabu cha sera za ACT.. Hili ndio mmeliona linanguvu ama..?
 
Anapokea ilani lakini mahakama ya ndani (nafsi) inamkumbusha matapishi yake, analazimisha tabasamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom