Picha ya siku

Picha ya siku

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,986
Reaction score
104,411
upload_2017-5-30_12-36-42.jpeg


Yamebarikiwa halafu Lumumba & Co. Ltd mnalalamika eti Acacia wezi! (picture copied from JF)
 
Hahahahaha ngoja nicheke kwanza



Swissme
 
Kuna manyumbu flani huwezi kuwaona wakichangia humu.
 
Kweli ccm imeleta majanga makuu nchi hii, mwe! namwona mzee wa 'kugawa' raslimali za nchi.
 
Siku CCM ikiondoka madarakani ndipo watanzania tutaanza kufaidi matunda ya utaifa wetu.
 
1995-2005 Tanzania ya ubinafsishaji
2015-2020 Tanzania ya viwanda
 
Back
Top Bottom