picha ya siku

picha ya siku

Nyumba ya jambazi hii (sio wa JF
emoji3.png
) au wale Madon

Hiyo ni JELA ya ALCATRAZ!!
 
Atarudi lini?
Luka 21:9
Nanyi mtakaposikia habari za vita na fitina, msitishwe maana hayo hayana budi kutukia kwanza, lakini ule mwisho hauji upesi .

Hakuna aijuae siku ya kuja Kwa Yesu, Hata malaika Wa mbinguni hawaijui.
Ila Mungu pekee.

Lakini atarudi kwachukua walio wake.
 
Likipita la kagera Kijuu ataelekeza mchango kuleta mitumbwi hakutakua na ka island tena
 
Point Yangu hapa ni hayo majumba ya kufuru, nyakati za mwisho matajiri watatamani hayo majumba yawaangukie wafe lakini hawatakufa.

Hayo majumba mnayoyaona hayatasalia Hata jiwe moja juu ya jiwe.

Huu ni unabii.
Tatizo huna uwezo ndo maana unawaza hivo walokole,mashahidi wa jehova walio maskin weng ndo mawazo.utasikia tutarithi majumba
 
Tatizo huna uwezo ndo maana unawaza hivo walokole,mashahidi wa jehova walio maskin weng ndo mawazo.utasikia tutarithi majumba
Wewe si wa kwanza kudhihaki, lakini siku IPO siku yaja, utakapowaona walokole walio dharauliwa wakiiuridhi ufalme Wa Mungu
 
Booonge la crib. Sasa hapo una wife mmoja matata, kids wasiojua shida wanasoma class 'whats poverty?' . Ful gym ndani, 4 bathrooms, kuna ukumbi wa cinema ndani etc. Hapo ndo wanyamwezi kama Fat Joe wanasema Nothin Can Stop Me Am All the Way Up
 
Siku Yesu akirudi majumba kama haya yote yatakua magofu
Teteteeeh siku Yesu akirudi utakuwepo....au na wewe ni mmoja wa wale wa7to mliouza nyumba mwaka 2000 na kwenda kumsubir Yesu airport..??..
 
Teteteeeh siku Yesu akirudi utakuwepo....au na wewe ni mmoja wa wale wa7to mliouza nyumba mwaka 2000 na kwenda kumsubir Yesu airport..??..
Wafu watafufuliwa Kwa hio wote tutamwona, itakua kufumba na kufumbua.

eti unajiita Adolph Hitler
 
Wafu watafufuliwa Kwa hio wote tutamwona, itakua kufumba na kufumbua.

eti unajiita Adolph Hitler
Kweli aisee ndo maana niliwafyeka wa Israel in WWII kwa kosa hiko hilo la ku-imaging ila hivi sasa na mimi namsubir naamin atanifufua....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom