picha ya siku

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
3A9C009200000578-3957406-image-m-64_1479739587510.jpg
 
Kwahiyo vijumba vyetu vya kuinama vitapona?
Point Yangu hapa ni hayo majumba ya kufuru, nyakati za mwisho matajiri watatamani hayo majumba yawaangukie wafe lakini hawatakufa.

Hayo majumba mnayoyaona hayatasalia Hata jiwe moja juu ya jiwe.

Huu ni unabii.
 
Kwa hiyo yasijengwe kwa vile yatakuwa magofu. Wewe unakalia nini duniani, yesu si akirudi utakuwa gofu!
Nyakati za nuhu watu walikula na kunywa, walioa nakuolewa, walilima na kupanda,
Maisha yaliendelea kama kawaida
Lakini ilipofika wakati Wa gharika....
Unajua kilichotokea

Hata leo watu wanaoa na kuolewa, na maisha yanaendelea, lakini nani aijuae siku ya kurudi Kwa Yesu?

Luka 21:8-38
Soma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom