Mkopo ulianzishwa kwajili ƴa watoto wa kaƴa maskini na si kila mtu tanzania haijafikia uwezo wa ƙutoa mikopo kwa watu woteNitamuungaje mkono mtu anayesema kama umesoma private basi sahau kupata mkopo.
Huyu kuna baadhi ya jamii hawamuhusu.
nilimtajaga kwa cheo chake kama ulivyofanya mwenzangu nikaambulia ban ya siku 3Kwa hiyo tufanyaje sasa bwana DC?
Wow Very Handsome and intelligent man!Picha ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaView attachment 776238
Picha yake inazungumza mengi
Kichwa hakitoshiVery humble, confident and commitably.
Kama itapendeza kwenye noti mpya zijazo
picha hii itumike.
Kitokacho kinywani ndicho kilicho moyoni. Jee kauli zake na matendo yanalingana na hilo tabasamu?Tabasamu fake kivipi na umeweza kujuaje yaliyo moyoni mwake kama sio uchawi huo
Mtu mwema sana!? My foot! Unajua maana ya mtu mwema wewe? Hilo neno hata ukimuuliza mwenyewe kuwa jee wewe ni MTU mwema? atapata kigugumizi kujibuRais wetu ni mtu mwema sana na anayodhamira ya zati kuwakomboa watanzania kutoka kwenye uchumi wa chini hadi wa kati ni suala la mda tu
Kitatosha tu.Kichwa hakitoshi
Elimu ni bahari kuna somo linaitwa face reading ukilijua unaweza jua mawazo ya MTU.Tabasamu fake kivipi na umeweza kujuaje yaliyo moyoni mwake kama sio uchawi huo
Unapima vipi umasikini wa MTU,Leo anazo kasoma private kesho mzazi kafa,jana mzazi masikini Leo tajiri,acheni ubaguzi hizo ni kodi zetu wapeni mikopo bwana hamzitoi mifukoni mwenu,tunalipa kodi ili watu wapewe mikopo utamaduni wa kibaguzi sio utanzania.Mkopo ulianzishwa kwajili ƴa watoto wa kaƴa maskini na si kila mtu tanzania haijafikia uwezo wa ƙutoa mikopo kwa watu wote