mtu akinyatia hapo hiyo silaha inachukuliwa kiulaini... madem saa zingine hua wanatumwa sio wakushobokea kizembe... halafu hapo ni kama maeneo ya soweto kule chuga
Nilichogundua ni askari ana bunduki begani na huyo dada ana bastora kifuani za kuua mapenzi, kwa hiyo bastora ya dada una nguvu kuliko ya askari ndo maana amesarenda hyo askari.
Nilichogundua ni askari ana bunduki begani na huyo dada ana bastora kifuani za kuua mapenzi, kwa hiyo bastora ya dada una nguvu kuliko ya askari ndo maana amesarenda hyo askari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.