Yaani nyie ni watu wa ajabu sana hivi mnapowaringanisha Kiba na Diamond mnatumia vigezo gani? ni vema mkaelewa Kiba ni wa siku nyingi ndani ya tasnia ya muziki na wakati akiwa juu huyo Diamond alikuwa hajulikani kabisa na kalikuwa bado katoto na kwa ukongwe wote alionao ameweza kuchukua tuzo 5 za KTMA na zile tuzo za WATU na pia amekuwa balozi katika kupiga vita mauai ya Tembo kitu kinachoonekana kabisa ni msanii anayekubalika na kuheshimika.
yan huu #team kiba and #team diamond n uswahl ulioptlz yan inxtead of m2 support kaz nzur anasuport ujing hvy mnaxhuxh mzk chn mfan yan barnab anavyojua ku2ng nymb hakn utat yey nd m2nz bora lakn ona et team kiba wamemp ally huo n ujinga xax ally kiba anamuwez barnab kw u2nz?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.