PICHA YA PAMOJA: Diamond, Ali Kiba na mashabiki

PICHA YA PAMOJA: Diamond, Ali Kiba na mashabiki

Yaani nyie ni watu wa ajabu sana hivi mnapowaringanisha Kiba na Diamond mnatumia vigezo gani? ni vema mkaelewa Kiba ni wa siku nyingi ndani ya tasnia ya muziki na wakati akiwa juu huyo Diamond alikuwa hajulikani kabisa na kalikuwa bado katoto na kwa ukongwe wote alionao ameweza kuchukua tuzo 5 za KTMA na zile tuzo za WATU na pia amekuwa balozi katika kupiga vita mauai ya Tembo kitu kinachoonekana kabisa ni msanii anayekubalika na kuheshimika.

Hata JK ana walimu waliomfundisha, lakini ndo raisi wao..!!! Halafu nashangaa sana ...hivi hamuwezi kumpandisha Kiba bilan kumshusha mtu..?? Mfanyacho ni sawa na kumfilisi tajiri ili alingane na masikini wakati kitendo hicho hakimsaidii masikini....

Kiba aliuweka pale alipotoka kuimba na akina R. Kelly... Mwenzie kolabo na David imempa tuzo kibao....
 
Back
Top Bottom