Picha ya Nape na CCJ ni ya Photoshop

wewe JENIFA umetoa wapi hizi picha?
inaonekana wewe chanzo cha hivi picha ili kurusha uchafu kwa jf!!!!!
swali rahisi tunaomba link hivi picha lipo-post wa kwa mara ya kwanza?
mpaka sasa uchungu wangu unaonyesha ni wewe ndiye umeleta hapa hizo picha?
invible jitokeza kusaidia nani kaleta hivi picha humu kuondoa hiki kiwingu, maana naona watu wanataka kujisafisha na kuchafua jamvi letu

gazeti likiruhusu kuweka picha ya uwongo nani anashitakiwa..

jf itajiangusha kwa kukubali kutumiwa na wachakachuaji.

nani ni nani?

attachment.php

jf hata nyie wachakachuaji?

229465_213223342032420_100000342668655_729505_7624531_n.jpg

mpaka mnachakachua picha kudanganya watanzania. aibu kubwaaaa mibaba

nape endelea umewashika pabaya na panawauma
 
Hahahaaaa.lakn ukweli ni upi?ni mwanzilishi wa CCJ kweli au ni uzushi mtupu?

Nimeongea na Msajili wa Vyama vya Siasa six hours ago, amenitolea nje kwa kuniambia kuwa "jina la Nape Nnauye halipo kwenye orodha ya waanzilishi wala wadhamini wa CCJ. Mbona Wabongo mnafurahia uzushi, vijineno vya kusukania nywele na kukwepa hard facts?" Nikamjibu, SI MIMI, NI MPENDAZOE!
 
Hii imefanywa na mtu mwenye nia ya kumsafisha Nape kwa kuonyesha kuwa anasingiziwa. Mimi nilipoiona hii picha kwenye thread mojawapo niliishtukia kwa vile haikuoana na maelezo ya Mpendazoe kama ilivyolipotiwa na gazeti la Mwananchi na Tanzania Daima. Magazeti yote yameripoti kuwa walikuwa wanafanya vikao kwa siri, sasa iweje Nape azungumze na kundi la watu huku mabango yakipeperushwa? Kama ni hivyo si ingekuwa imefahamika siku nyingi? Mchakachuaji ana lake jambo na naamini si mwana JF.

Mkuu umenena! Kipindi hicho cha CCJ, NAPE alikuwa mjumbe wa NEC ya CCM, nafasi nzito kichama ambayo ingefanya kitendo cha kuishabikia CCJ habari kubwa sana. Lakini vilevile, Mpendazoe is a liability. Aeleze, ilikuwaje wenzake wakamwacha peke yake if he is not a big fool?
 
nakubaliana na wewe kwamba picha iko edited,...
ila kwenye utetezi wako kuna walakini,...
hakuwepo umejuaje?
ina maana na wewe ulikuwepo ila hukumuona?
so na wewe ulikua moja kati wa waanzilishi wa CCJ?

Ama kweli

Mkuu Speaker,
Huu unaouita 'utete wangu' hauna uwalakini hata kidogo ninasema kitu ninachokijua na inaonekana labda hukuwahi kufuatilia komenti zangu za huko nyuma...Wakati wa kupiga hiyo picha iliyokuwa-doctored, mimi nilikuwepo na wakati huo nilikuwa ni Katibu Mwenezi wa CCJ na actually me ndo nilikuwa nazungumza na press...Hata hivyo baada ya yote yaliyotokea na kwa ushauri wa waanzilishi wa CCJ tuliamia CDM na wakati tunaamia CDM mimi nilikuwa naibu katibu mkuu wa CCJ Tanzania bara. Kwa hiyo haina uwalakini na wala sio siri juu ya mimi kuwa CCJ kabla ya kujiunga na CDM....Angalia attachment...
 

Attachments

  • 1269942214_mpendazoe031neww.jpg
    1269942214_mpendazoe031neww.jpg
    22.5 KB · Views: 26
  • ccj-naibu.jpg
    ccj-naibu.jpg
    31.8 KB · Views: 34
  • 111.jpg
    111.jpg
    10.5 KB · Views: 32
  • kishampu-mp-fred.jpg
    kishampu-mp-fred.jpg
    13.2 KB · Views: 39
  • Mpendazoe 017.jpg
    Mpendazoe 017.jpg
    151.5 KB · Views: 36

Kuna thread nimechangia nikasema "...Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni..." Na nikasema hiyo picha wamei-doctor coz Nape siku hiyo hajakuwepo kwa msajiri...Na mimi pia nashuru kwa hii picha coz anayeongea na waandishi wa habari hapo ni mimi na kipindi hiko nilikuwa ni katibu mwenezi wa CCJ Taifa...So Mzee wa Ban huo ndo mwongozo...
 
Kama kuwa opposition si dhambi.. je.. kuwa CCM ni dhambi? Mbona wana-CCM wakijitokeza kutetea hoja wanapata personal attacks?

Brutus, nimesema hivyo kuwa c dhambi kwani aliyeni-attack na hayo maneno ya ni MwanaCCM hata hvyo naamini kuna wana CCM wenye busara na ndo maana mimi cshabikii personal attacks....Kama umefuatilia comments zangu utaona niko fair sana...Cjicfu ila waswahili wanasema mungwana ni vitendo....Ubarikiwe ndugu yangu...
 
rahaaaaaaaaaaaa zimehamia hapaaaaaaaaaaaa..........................JF IDUMUUUUUUUU MILELEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
"UKINYANG"ANYWA TAULO CHUTAMA MNACHOFANYA JF AIBU.....nimefurahi mnakuja huku pia>>> HAYA ONENI AIBU YENU"

Hayo ni maneno ya Nape Mnauye kwenye facebook.

Hivi Nape anataka tumsifie tu!Nape anaaza kulewa sifa za kijinga wakati kiukweli Nape ni mnafiki mkubwa.
 
Hahahaaaa.lakn ukweli ni upi?ni mwanzilishi wa CCJ kweli au ni uzushi mtupu?
Ukweli ni kwamba Nape ni mojawapo ya watu waliokuwa wanakerwa na mwenendo wa CCM kabla ya kujivua gamba kuna uwezekano mkubwa alikuwa moja ya waanzilishi wa CCJ!!!
 
eti nape analalamika kuwa members wa jf wametengeneza picha ili kumchafua...... hebu tusaidiane kuicheki hii picha halafu tuambizane ni vp imetengenezwa

attachment.php


CCJ+2.JPG




Admin Note: The Picture above (which shows Nape with CCJ supporters in the background) was photoshopped from the bottom picture which show the leader of now defunct CCJ speaking to the press late last year). We thank our esteemed member who brought the later picture to our attention. We regret for any inconvenience and misunderstanding the former picture might have caused. The member who brought the faked picture will suffer an administrative ban. - JF Administrators

The tourist, umejiunga lini? Kumtetea Nape? Ugeni wako ungekuja na nidhamu na kujitambulisha zaidi alafu ndipo uoneshe makeke ya kisiasa hasa kusafisha watu. Lakini mimi naamini kuwa wewe ni Nape na umeabadilisha ji na.
 
Nimepita FB nimekuta NApe amewajibu kule
n this photo: , Said Nguku (photos), Shanice Msuya
UKINYANG"ANYWA TAULO CHUTAMA MNACHOFANYA JF AIBU.....nimefurahi mnakuja huku pia>>> HAYA ONENI AIBU YENU


11 hours ago · LikeUnlike ·
  • 14 people like this.


    • Kilyie Msengi Good11 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...



    • James Rock Mwakibinga yaani Kuna watu waSOMI wazima Wanatumiwa na Viongoz wa ChaNDIMU kuhamasisha Harakat potofu Vyuo vikuu yote ni Uvivu wa kufikir11 hours ago · LikeUnlike · 3 peopleLoading...



    • James Rock Mwakibinga Vema sana11 hours ago · LikeUnlike



    • Babbie Minaj Bosco Aminia Kiongozi we2,speed hiyo hiyo!kidumu CCM11 hours ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading...



    • Bamdogo Kiki ‎@James, Matusi hayo!11 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...



    • Augustino Mkumbo Nape we nikioo ngozi sasa!fanya kazi zaid ionekana mbele ya jamii punguza taarabu kwani maneno hata kwenye kanga yapo!Tofauti yako na wao nin sasa!siku tisini zitakwisha si tunataka tuone mwendelezo wa senema yetu ya kujivua gamba bwana!Acha maneno KATIBU MWENEZ isiwe katibu mzushi!11 hours ago · LikeUnlike · 3 peopleLoading...



    • James Rock Mwakibinga ‎@Augustin,Ebu jiangalie maneno unayotamka kama unakunywa maji ya kopo la chøn11 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...



    • Steve Bahati Ntafurahi sana tunaokipenda chama na viongozi wake kuwa wawazi na wakweli hasa kiongozi anapokosea kuendelea kusifia ni kuharibu! Kaka nape fuata ushauri wangu, wanachokitaka ukose uvumilivu na ndo unakoelekea kwa mwendo huu sitaona ajabu ukija toa tusi la nguoni hadharani! Hebu kaa kimya matendo yako yajibu yenyewe tuone watakudaka wp11 hours ago · LikeUnlike



    • Peter Isuti Mioyo Nafac yako hii alikuwa nayo chilingati cdhan kama alikuwa mwenye maneno meng kama wewe, nina hofu na maneno yako maana yanekuwa mengi mno c ajabu utekelezaji wako ukawa ziro, punguza maneno hata kama ndo unajitafutia umaarufu.11 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...



    • Nape Nnauye PETER SITAFUTI UMAARUFU KAMA NI UMAARUFU TAYARI NINAO, TUMECHOKA WATANZANIA KUDANGANYWA KILA MARA NA VIBAKA10 hours ago · LikeUnlike · 4 peopleLoading...



    • Steve Bahati Haaa haaa haaa haaa siasa bwana! Km huna moyo wa chuma balaa....10 hours ago · LikeUnlike



    • Bernard Kazimoto Dickson kaka nimeipenda hii tagg kwa shanice msuya10 hours ago · LikeUnlike



    • Augustino Mkumbo NAPE WATANZANIA WA LEO SIO WALE WA MWK 47 KWANI WE UNAKUBALIANA NA UGUMU WA MAISHA ULIOPO?TOKA VUVUZELA ATANGAZE KILO YA SUKAR IWE 1500 JE IMEKUA?KWA TAARIFA YAKO HAKUNA MTU ANATUDANGANYA ZAIDI YENU!SIE URAIS HATUUTAKI TUNATAKA NAFUU YA MAI...SHA.KAZ TUNAFANYA MSHAHARA UNAISHIA TAR 3 BAADA YA HAPO MADENI!UKOME KUSEMA TUNADANGANYWA!WAONGO NI SERIKAL YA CCM!ILA IPO SIKU TUTACHOKA NCHI NZIMA UVUMILIVU UTAISHA TUTAGAWANA VYAKWENU WATOTO WENU WALALE NJAA NAO!See More
      10 hours ago · LikeUnlike · 4 peopleLoading...



    • Augustino Mkumbo NAPE WATANZANIA WA LEO SIO WALE WA MWK 47 KWANI WE UNAKUBALIANA NA UGUMU WA MAISHA ULIOPO?TOKA VUVUZELA ATANGAZE KILO YA SUKAR IWE 1500 JE IMEKUA?KWA TAARIFA YAKO HAKUNA MTU ANATUDANGANYA ZAIDI YENU!SIE URAIS HATUUTAKI TUNATAKA NAFUU YA MAI...SHA.KAZ TUNAFANYA MSHAHARA UNAISHIA TAR 3 BAADA YA HAPO MADENI!UKOME KUSEMA TUNADANGANYWA!WAONGO NI SERIKAL YA CCM!ILA IPO SIKU TUTACHOKA NCHI NZIMA UVUMILIVU UTAISHA TUTAGAWANA VYAKWENU WATOTO WENU WALALE NJAA NAO!See More
      10 hours ago · LikeUnlike



    • Augustino Mkumbo NAPE WATANZANIA WA LEO SIO WALE WA MWK 47 KWANI WE UNAKUBALIANA NA UGUMU WA MAISHA ULIOPO?TOKA VUVUZELA ATANGAZE KILO YA SUKAR IWE 1500 JE IMEKUA?KWA TAARIFA YAKO HAKUNA MTU ANATUDANGANYA ZAIDI YENU!SIE URAIS HATUUTAKI TUNATAKA NAFUU YA MAI...SHA.KAZ TUNAFANYA MSHAHARA UNAISHIA TAR 3 BAADA YA HAPO MADENI!UKOME KUSEMA TUNADANGANYWA!WAONGO NI SERIKAL YA CCM!ILA IPO SIKU TUTACHOKA NCHI NZIMA UVUMILIVU UTAISHA TUTAGAWANA VYAKWENU WATOTO WENU WALALE NJAA NAO!See More
      10 hours ago · LikeUnlike



    • Tono George Vangllisasi mmechemsha, maisha yamekuwa magumu sana. serikari ya sisiem mmeshindwa ku-control bei ya mafuta. hatudanganyiki. mbona hao mlio wapa siku 90 bado wapo?10 hours ago · LikeUnlike



    • Said Nguku Yes, kwa kuwaonyesha uongo wa huyo m....10 hours ago · LikeUnlike



    • Steve Bahati Tutaanza kupanda punda kwenda makazini kwa hz bei za mafuta, sa sijui watachaji mpaka punda parking?10 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...



    • Japhari Shabani Nape hiyo picha umeiaadaa mwenyewe ili utuondoe katika hoja ya msingi10 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...



    • Steve Bahati NAJIVUA GAMBA! ....nalala naiogopa biblia inakataza kuufanya usiku kuwa mchana! Adios10 hours ago · LikeUnlike



    • Ally Farahani Nyie semeni yangu macho, kikubwa nikipendocho kuonda vitendo zaidi vikitendeka, kuliko kusema ingawa kusema pia ni muhimu ili uma ufahamu kwa kina hiki kimefanyika hivi kwa nia au lengo fulani....10 hours ago · LikeUnlike



    • Furaha Msemwa wakati urusi inasambaratika walikubaliana kitu kimoja mashirika yanayobeba roho ya uchumi wa nchi ubebwe na wazawa wakazaliwa oligachi sasa siasa zisiwe kulenga serikali zilenge kumuinua huyu kabwela na mtu asiseme nikiingia onyesha kidogo ...sasa kwa uwezo juzi nimekwenda Rukwa magari yale ni mengi sana ya waheshimiwa nilitegemea watakuwa kwenye Coaster moja wakionyesha ubanaji wa matumizi lakini ilikuwa siyo ndiyo nikajua maanan ya siasaSee More
      10 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...



    • John Ibrahim Nape kwanini unaogopa wananchi hasa wenye akili. Umekubali kuwa kiongozi beba na zigo lauwajibikaji. Tunakuuliza maswali rahisi sana. Je siku tisini zinakaribia kwisha je mapacha wataondoka? Je ulikuwa fedha za EPA? Ulimaanisha nini kusema... huwezi fanya kazi na wachaga? Ubaguzi umeanza lini Tanzania? CCM hamuwataki wachaga?Je Kwanini Mukama alikana kauli zako kuhusu kufukuzwa mapacha? Je suluhisho la umasikini ni uvuvuzela badala ya chama tawala kuwaletea wananchi maendeleo? Unaamini kwa kuvuvuzela nchi nzima tutapata umeme, maji, shule za kata zitapatiwa waalimu, barabara zetu zitajengwa, mikataba yetu itakuwa ya manufaa? Au nia ni kulinda mifereji ya kodi zetu kuingia mifukoni mwenu? Usiogope hadhira jibu hoja.See More
      10 hours ago · LikeUnlike · 4 peopleLoading...



    • Kalugulu Malugu unatunza kumbukumbu vzr mwenezi, hv na hiyo logo yenu ya CCJ uli dizaini ww mwenyewe?9 hours ago · LikeUnlike



    • Kalugulu Malugu unatunza kumbukumbu vzr mwenezi, hv na hiyo logo yenu ya CCJ ulidizain ww?9 hours ago · LikeUnlike



    • George Maige Nhigula Jr Nenda JF kajibu hoja, mbona umekimbia wakati wewe ni member wa JF, hoja hujibiwa kwa hoja kaka sio mipasho au mshauri wako ni khadija Kopa kada mwenzako?7 hours ago · LikeUnlike



    • Dickson Ng'hily Nimesema kule JF kuwa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni....Hii picha ni yangu, mimi ndo siku hiyo nilikuwa naongea na waandishi wa habari na c Nape...Na hapo nilikuwa ni Katibu Mwenezi wa CCJ....Lol..Ila watu wengine bana....????6 hours ago · LikeUnlike



    • Davie de Mwaky Surely Nape you can do better than this cheap politix!!
      5 hours ago · LikeUnlike



    • Nape Nnauye KAKA SIO CHEAP UONGO USIPOJIBIWA UNAGEUKA KUWA UKWELI< HAWA JAMAA WAMEKURUPUKA NA UONGO ILI KUUSHINDILIA WAKAAMUA KUTENGENEZA PICHA YA UONGO KABISA KUJUSTFY UONGO WAO. SASA UKWELI UMEWAUMBUA WANAANZA OOOH NENDA JF UKAJIBU HOJA,KUMBUKA WALISAMBAZA ILE PICHA FAKE MITANDAO MINGI IKIWEMO FB,SASA WANAOMBA MECHI IISHE MAPEMA, SI WALIANZA WAO?4 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...



    • Thumz Thumin Mtu mwewnye akili zake hawezi kwenda kupoteza muda JF hatasikumoja ... Jf i kisima cha watu wenye fikra za kimaskini..3 hours ago · LikeUnlike



    • Opensanit Limeted &#8206;..nashauri uachane na JF ...Kumbuka ule ni mtandao huru watu wanatumia hidden IDs ..unaweza kuta mtu wa karibu kabisa na wewe ndio anamwaga mambo yako kule na usijuwe....pia tunaomba uwe makini kidogo na comment zako kuhusu Uchagga..kwani zinawafanya wachagga Walio CCM wajuione yatima..tusifike huko...........octa3 hours ago · LikeUnlike



    • Davie de Mwaky &#8206;@Nape,ninachomaanisha ni kuwa ungeweza kukanusha kistaarabu tu.Haya mambo ya kuvuliwa taulo blah,blah sio muafaka kwa mwanasiasa kijana.Kwa mfano MMM alipost picha na kuandika hivi "This is the original picture.. the other one is a fake...".Uungwana ni vitendo mazee.
      3 hours ago · LikeUnlike



    • Bernie Mponeja &#8206;...hivi hii nchi yangu lini wanasiasa mtaacha siasa za maji taka mkapiga kazi watu waondokane na shida aisee, kila siku chai chai magazetini afu chai yenyewe rangi haina sukari..bana watu tunataka maendeleo na si mipasho, ka mwanasiasa ana...taka mipasho tumuombee kipindi cha Leo Tena pale Cloudsfm kwa Gea Habib mkapige chachandu..! Juzi nilipita Hongkong na maadhi ya rafiki zangu watanzania, amini tulitokwa machozi kuona daraja la kigamboni siasa na kivuko kisichoeleweka wakati ni pafupi hasa(ferry-kigamboni) hawa majamaa hawana siasa bt kazi tu...bana acheni chai, hivi viongozi na wanasiasa si kila siku wanasafiri? hawajifunzi? by the way kaka Nape karibu China if hujawahi tembelea pande hizi!See More
      2 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...



    • Isaac Kakwimba Nape umelibeba na sasa ni zito na huwezi kulitua utachutama nalo na hutapata msaada na aliekuvalisha nguo amekuacha uchi sasa chutama mpaka MAGAMBA YAKUKUTE HAPO UMEFICHA UCHI WAKO na hawatakuacha salama, siku 90 ziko mlangoni pako ona wenzako wanafikiri haraka haraka wamejaribu wakagundua si salama wamekaa kimya, yangu macho.2 hours ago · LikeUnlike



    • Bamdogo Kiki &#8206;@Thumz, Matusi hayo!2 hours ago · LikeUnlike



    • Herman Tutuki nape jibu tuhumu za mpendezoe hatutaki blah blah hapa, ukishindwa jiuzulu hiyo nafasi uliyo nayo ccm, maana ni dhahaka kwa wana ccm,,,,2 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...



    • Uhuru Tanganyika we will give you the Benefit of the Doubt, pengine picha ilichakachuliwa, lakini bado wewe ni mtuhumiwa kama walivyo watuhumiwa wengine.about an hour ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading...



    • Ibrahim Mtolera haya,yatakuja mengi ngoja tusubiri,ukiwa maarufu ktk hii nchi lazima uwe makini na uyafanyayo kwani ipo siku UTANYANG'ANYWA TAULO, na baada ya kupolwa hilo Taulo utakutana na MAMA MKWEabout an hour ago · LikeUnlike



    • George Maige Nhigula Jr &#8206;Nape Nnauye-Unataka mechi na wenye nchi? hujajua kuwa ur fighting a loosing battle, just a matter of time, nguvu ya umma will alwys prevailabout an hour ago · LikeUnlike · 1 personLoading...



    • Khatib Sendaro PETER umenena NAPE anaongea sana na kujisifu ilhali hana lolote analofanya mi naona ni taarabu2 zinaendelea kwake haa ki2. na kama ni kutudanganya ccm ndo inatudanganya na kutufilisi rasilimali zetu za nchi. nasema kwa sababu madudu yote ya...nayofanyika humu nchini wanayabaliki wao kwa faida zao na chama chao. ooo sukari ishuke bei wapi uongo mtupu, mahindi yaliyopo ghalani yasambazwe kwa wananchi vibali vyenyewe vya kuchukulia hayo mahindi ni ukilitimba2. tunasubiri siku tisini ziishe tunajua ni uongo hakuna kujivua gamba wala nn.See More
      about an hour ago · LikeUnlike



    • Shibu Ali Sisi tupo huku tusiopenda fujo na shutuma za kila siku,hatupumuiiiiiabout an hour ago · LikeUnlike



    • Said Sass good work NAPE ... TEH...TEH..ITS A JOKE...IT WAS RUNNIN LIKE WILD FIRE....THEY PULL IT OFF...HOPE YUO SEE THE EARLY POST ON UR WALL ON HOW THEY CHAKACHUWA THE PIC ...IT WAS SO CLOSE TO CALL YOU ALL NAMES WE CAN FIND IN KARIAKOO AND GEREZAN...I...DAMN BONGO PPL...FULL OF HATERS...Funny when i saw it ...i thought goosh this is a good work of Photoshop...worse i had this pic and post it ...good u upload and on ur face! ...read the line ppl...stop this character assassination craps .....dont play with ppl ideology for planting hate element....shape him to deliver the good package for your grandsons...he got in...you fight to be in...and bring the changeSee More
      41 minutes ago · LikeUnlike



    • Humphrey Mhada Get used, you are going to be attacked either you like it or not, and sometimes you have just got to face up to the political reality, siasa huwa ni mchezo mchafu. una bahati ulikuwa na picha ya kuonyesha, nje ya hapo ungekuwa na wakati mgumu. Pole sana ndio ukubwa huo.32 minutes ago · LikeUnlike



    • Daniel Chongolo Nimejitahidi kuwa miongoni mwa wasomaji wa mjadala, lakini sasa naomba nami niwe sehemu ya wachangiaji, Nanukuu manneno ya Baba wa Taifa la India Mahatma Gandhi kuwa “We must become the change we want to see.” Ni rahisi sana kuwa na ushabi...ki huku tukimnyoshea kidole kimoja NAPE, lakini hivi tumeshakaa na kujiuliza ni kwa kiwango gani tumetekeleza wajibu wetu na kuwa si sehemu ya kero katika majukumu yetu? lazima tubadilike, tusiwe sana na hadithi ya MR. Tortoise. Sisi ndiyo wa kuifanya nchi iwe zaidi ya Hong Kong.See More
      29 minutes ago · Like

 
NApe aendeleza mipasho kwenye FB


Nape Nnauye
CHANDIMU AIBUUUU KALIPENI KODI YA MSHAHARA WA BOS WENU




11 hours ago · LikeUnlike · · Share


  • 3 people like this.
    • View all 23 comments
    • Likomboleka Mzanda unaposhika hatamu za uongozi kimsingi hatutarajii uwe mtu wa mipasho. unapaswa kuongoza kwa kufuata katiba, sheria, taratibu kwa kuzingatia mipaka ya mammlaka uiyokasimiwa. Kodi husimamiwa na mamlaka ya mapato, ambayo kisheria ndiyo yenye m...ammlaka ya kuchukua hatua dhidi ya mtu anayekwepa kulipa kodi. inapotokea mtu hajlipa kodi nani wa kulaumiwa mammlaka au mlipa kodi? ...nina wasiwasi kuwa hata mfumo wa ulipaji kodi Tanzania utakua huujui, nikiwa na maana ya 'wigo wa mapato kupitia kodi', viwango cha kodi kulingana na mapato na faida anayopata mlipa kodi', 'misamaha ya kodi kwa kada mbalimbali' n.k. ...katika ilani ya ccm iliyotupeleka madarakani sikusikia hata siku moja mh jk akizungumzia kodi.. hata wagombea wa ubunge kupitia chama chetu hakuna hata mmoja aliyezungumzia kodi katika kampeni zao. je, umewahi kujiuliza ni kwanini? leo hii Nape Nnauye unatoa wapi ujasiri wa kuwaambia watu wengine walipe kodi huku wale waliokutuma ikiwa hawalipi kodi? nakuomba ukairejee nyongeza ya Pili ya Sheria ya Kodi ya Mapato mwaka 2006 sura ya 332 ili uwaone watanzania wenzako ambao sheria dhalimu imewahalalisha kuto kulipa kodi bila kujali mapato wanayoingiza kutokana na kazi zao. inatia hasira sana. kwa hiyo usiwe unaropoka tu ndugu yangu. fanya utafiti, siasa za maji taka siku hizi hazina nafasi. uwe mbunifu, mara zote mdomo unaponza tu ukiutumia vibaya.See More
      47 minutes ago · LikeUnlike · 1 personMussa Jaffary likes this.

    • Mussa Jaffary Mzanda kijana bado ana nafasi yakujifunza nikumuelimisha pengine anajiona yeye kiwango chake chaufahamu kikojuu zaidi ya wengine hivyo anatamka lolote akitegemea hatujui kazi aliyonayo nikubwa kuliko anavyofikili huyu mh Nappe ila tusimkatishe tamaa muache aendelee kubwabwaja mwisho wa siku atakuwa nasi mtaani tutamuelewesha27 minutes ago · Like

 
Kaandika hivi:-

Nape Nnauye
UKINYANG"ANYWA TAULO CHUTAMA MNACHOFANYA JF AIBU.....nimefurahi mnakuja huku pia>>> HAYA ONENI AIBU YE

nape.jpg
 
Akienda FB anachanwa mbaya, akirudi JF anachungulia kama Guest maana moto unawaka, hakika amejichumia janga vuvuzela la ****** huyu!
 
Back
Top Bottom