Osama ni wa ukwee...alikuwa anawacheki tu pale jinc wanavyofoji mambo....hahahaaaaaa,umeona eh?ndo mana waliutupa mwili wa osama feki baharini coz walifreeze baada ya kukutana na THE REAL OSAMA KWENYE MAZISHI!....hahahaaaaa...na bado,acha alipue white house ndo watakoma...but hiv huyu kiumbe kafa kweli?mi bado haijaniingia akilini...:A S 100: