picha ya Mbowe alipowekwa chini ya ulinzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

picha ya Mbowe alipowekwa chini ya ulinzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchonga, Jan 9, 2011.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kichina
   
 3. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Umechakachua
   
 4. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  nitajaribu kuirusha tena
   
 5. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mchonga PICHA IKO WAPI?
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  umeitoa global publishers nini?
   
 7. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  naona picha wameichakachua, sitashindwa
   
 8. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Yes Ivuga nimeitoa huko, nitatafuta means nyingine
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Crap takatifu hii!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  kama una blog au website i uploda kule kwanza then unaweza kuileta hapa ..i mean not direct from gp
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  MAPIGANOARUSHA_CHADEMA4.jpg
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  mchonga..picha yenyewe ndio hii??
   
 14. n

  niweze JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Polisi Wanaonekana Walipiga Kura Chadema kwa Wingi Sana. Pictures Tell The Whole Story. JK Hakupigiwa Kura na Jeshi la Polisi Wala Ulinzi.
   
 15. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mbowe ni mwanaume na ukitizama askari wanaonekana km wamelazimishwa tu kumkamata, ila miyo yao si hivyo.

  Unajua askari polisi wenye vyeo vya chini ndio wakwere sana, hasa wanaotoka DEPO wanajiona sana. Huyu anaonekana ni askari wa cheo cha juu na anatumia busara kidogo alizonazo. Si unajua polisi wetu wengi ni MBUMBUMBU MZUNGU WA RELI?
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  Lipumba walimvinja mkono
   
 17. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Thanks ndo picha yenyewe. umenihawi niliishaibadili kutumia flickr.
   
 18. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Haaaa haaa haaaa..Aaah!
   
 19. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ukiondoa said mkorofi (mwema?!) na andengenye wanaokula makombo ya jk na mafisadi wao, viongozi wengine wa polisi wana ustaarabu fulani wanaposhiriki kuwanyanyasa wapinzani wa sisiem. Kwa mfano kwenye picha inaonekana wanamsindikiza Mhe. Mbowe kistaarabu sana. Picha hiyo ikionwa na said mwema, hao askari kibarua chao kitakuwa mashakani.
   
 20. k

  kilimajoy Senior Member

  #20
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni kwamba hawa jamaa wanaamrishwa na hao wakubwa wao wafanye madudu..ila polisi wenyewe wala hawataki kwani lichama lenyewe la mafisadi lilishawachosha. Ukichukulia walivyo na maisha duni yasioyokua na hamasa, wamekua kama watoto yatima, kwa hiyo hata kazi wanazofanya wanafanya kwa msongo wa mawazo.
   
Loading...