Picha ya Marafiki wa Lowassa

Mkuu unaonaje ukiweka wazi yale unavyofahamu kama mwandishi habari mwandamizi ambaye hutumii vyanzo vya kuokoteza huko Google?
 
Na Paulo Makonda
Nilitaka kumtaja huyo ila nikajua ameishatajwa kwakuwa nimeuona Uzi huu ukiwa tayari umeishachanganya...

Namkumbuka Paulo Makonda akiyataja majina ya Magufuli yote manne mara nyingi kwa wakati mmoja kama vile ni MTU mweeeema! Ila hii dunia kwakweli bhagosha!
"...nineagizwa na mh. John Joseph Pombe Magufuli Rais wa......." kumbe yupo anawchorea ramani Wahuni!
 
CCM wapo tangu 1977 miaka 48 wanakimbilia miaka 50, nusu karne. Wanazijua mbinu zote chafu na safu.

Hii script ya Pole Pole imeshawaondoa watu kwenye hoja ya Lissu ambaye kesi inaahirishwa kila siku. Sinema ambayo muigizaji mwingine ni Gwajima na kanisa lake maarufu.
 
Kwani watu si wanatakiwa wafanye nini kuhusu kesi ya Lissu... Wewe kuhusu kukamatwa kwa Lissu mtizamo wako upoje?
 
Nahdani watu waliunganisha picha ya Mbowe na ya Mheshimiwa Rais. Lakini wote walikuwa kwenye tukio Moja la uzinduzi wa DIra 2050 lakini sidhani kama walipiga picha ya pamoja.
Comment yako imenishtua, hii Ni picha rasmi kabisa ya mbowe na Samia siku ya dira 2050. Kwa nn umehisi ya kutengenezwa? Umenishtua kutojua jambo kama hili mtu Kama wewe ambae ni mfuatiliaji wa siasa
Ikulu wenyewe ndio waliiweka, hata hivyo tukio lilikua live kote


Chini nakuwekea na link ya ikulu usije sema nami nimetengeneza

View: https://www.instagram.com/p/DMNjHOCtzwE/?img_index=5&igsh=Zm1semhzb3lrYWtk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…