Picha ya Marafiki wa Lowassa

Gazeti la Rai ( nguvu ya hoja ) lilitumika kumpeleka Jakaya ikulu kwa kuwachafua wagombea wengine kwa kashfa mbalimbali ( salvation rweyemamu ) aliongoza mapambano.
Bashe alikuja kuwa CEO wa HC
Rweyemamu...sio yule alie wahi kuwa mkuu wa wilaya...nahisi he is at peace ⚰️⚰️🪦🪦
 
Kitu ambacho hujui Lissu sio mtoto wa mjini na hajawai kua na Conection na watoto wa mjini ni kama vile alivyokuwa JPM basi tuishie hapo ndo maana Mboye alijua anaweza kumtuliza Lissu kumbe wapi
 
Hiyo picha umeitoa wapi ?
Lilikuwa tukio linalohusu nini ?
Nahdani watu waliunganisha picha ya Mbowe na ya Mheshimiwa Rais. Lakini wote walikuwa kwenye tukio Moja la uzinduzi wa DIra 2050 lakini sidhani kama walipiga picha ya pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…